Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
Mbogwe haikuwa ilivyo licha ya Wananchi wengi kuendelea kuonesha kana kwamba hakuna kilichofanyika katika uongozi wako.
Umekuwa mfuatiliaji mzuri wa miradi mingi ya maendeleo katika Wilaya ya Mbogwe ndiyo maana Mbogwe ya leo hususani mji Mdogo mtarajiwa wa Masumbwe ulionekana kuonesha kukua hata machoni pa Mheshimiwa Rais wa awamu ya tano?
Maandalizi ya barabara ya kilomita tatu za laki alizoahidi Mheshimiwa Rais ninakumbuka uongozi wako uliyaanza mapema sana mwaka 2018 kwa kuikwangua barabara inayotoka eneo la Mango'mbe kuelekea sokoni "Darafuma", ni jambo lisilo na ukweli wowote kwamba hakuna jitihada zozote zilizofanyika kuhusu barabara.
Nimefarijika zaidi kuona kasi imeongezeka zaidi hapa karibuni ninaamini ushirikiano wako na watendaji wengine utaongea kasi zaidi ya utimizwaji wa ilani na ahadi za chama.