Hongera Monalisa, Jamiiforums tunakupongeza

Uliponiudhi ni hapo ulipotusemea na sisi wengine wakati hata hatumjui.
Tena waombe mods wabadilishe hiyo title isomeke mimi na siyo sisi.
Kwa mfano mimi mtoto wangu anajua ni mwana JF, sasa akiona upumbavu huu si atajua baba ameshafilisika mawazo!
 
Hahahahaa Ipo siku na mi ntamtakia Masanja mkandamizaji happy birthday kwa niaba ya wana JF. Lazima tushangazane mwaka huuu! Nimecheka sana eti JF tunakupongeza!!!
 
Safi sana mkuu,mi mwenyewe anitoe.
 
HAPPY BIRTHDAY MONALISA

Leo ni siku ya kuzaliwa ya Monalisa Mwigizaji na Mtangazaji wa kipindi cha Filamonata cha 100.5 Times Fm.

JF tunamtakia maisha mema yenye baraka na fanaka.

Wewe ni kengelaizasheni.
 
HAPPY BIRTHDAY MONALISA

Leo ni siku ya kuzaliwa ya Monalisa Mwigizaji na Mtangazaji wa kipindi cha Filamonata cha 100.5 Times Fm.

JF tunamtakia maisha mema yenye baraka na fanaka.

we gentleman au CHOKO flan????na. kakuteua kuwa msemaji wa jf???

kwanini usiisemee saluni ya kike unayofanyia kazi??
 
Hahahahaa Ipo siku na mi ntamtakia Masanja mkandamizaji happy birthday kwa niaba ya wana JF. Lazima tushangazane mwaka huuu! Nimecheka sana eti JF tunakupongeza!!!

Si ndo hapo? tumpongeze sisi wote tunamjua?,kuna mijitu humu haina akili kabisa,huyo monalisa sijui hawara yako,tuondolee uharo wako hapa,senz taipu kabisa,kwanza umeniharibia siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…