Hongera Mpina, hoja yako imeeleweka vyema kwa Wananchi Wazalendo

Hawa usalama wa taifa hawafanyi majukumu yao ipasavyo
 
Hili ndilo Bunge lililomtekeleza Ndugai Kwa kusema Ukweli kwamba Kwa mikopo hii ya mama Nchi ITAPIGWA mnada
 
Mpina ni sawa na wabunge wote wa ccm,anaibua hoja wenzake kazi ni kutuletea kodi na spika wao mjusi
 
Ili suala Ni Dogo Kwa sasa lakini Ni kubwa muda utakapofikiwa. Pole Yao Wabunge waliochangia Na kushiriki Katika hija ya Mpina kwakuwa laana ya watu wema haitowaacha salaama sasa Hadi vijukuu vyao.
Na iwe ivyo Kwa uwezo Wa Bwana Wa mabwana
 
Ngoja tuone hawa wahuni 2025 watafanyaje kupenya uchaguzi. Haya mabadiliko ya March 2021 ni sawa na mapinduzi yaliyowaingiza wahuni kushika dola. Kwa hivyo watanzania wanawajibika 2025 kua kitu kimoja kurejesha uongozi wa nchi mikononi mwa wazalendo wenye vision sahihi na kupenda haki na usawa kwa raia.
 
Tumemsikia na tumemuelewa,

sasa CCM wenzie baada ya kupambana na hoja zake wanapambana na yeye + person life yake.
 
Mpina ni mpumbavu, hana hoja yoyote
Nyani haoni naniliu yake. Ni rahisi sana kwa mtu mpumbavu kumwita mtu mwerevu kuwa ni mpumbavu kutokana na hulka yake kipumbavu.
 
Nyani haoni naniliu yake. Ni rahisi sana kwa mtu mpumbavu kumwita mtu mwerevu kuwa ni mpumbavu kutokana na hulka yake kipumbavu.
Mpina ni popoma wa taifa, na jana amelaaniwa rasmi na Bunge
 
Hayo yangetokea Kenya hata sijui ingekuwaje!
 
uzushi, uongo, kiburi na jeuri inarekebishwa kwa kanuni tu. kawa mdogo kama piritoni.

kutengwa na kukataliwa na kila mtu kwenye jamii fulani panaumiza sana aise 🐒
Mheshimiwa huyu atakuwa na hali ngumu sana kisiasa kwa sasa; inambidi awe mtulivu sana kipindi hiki.

Akiendeleza hizo hoja zake nje ya bunge, kifuatacho ataitwa na kamati ya maadili ya chama chake, ambako anaweza kukutana na pigo kubwa zaidi ambalo linaweza kumwathiri kwenye uchaguzi mkuu wa 2025 (kama ana nia ya kugombea tena) ambako vikao vya maamuzi ndani ya chama chake vinaweza kumtema!!

Hilo likitokea, anaweza akaamua kuhamia chama kingine cha siasa ambacho kinaweza kumpa tiketi ya kugombea ubunge wa Jimbo analoliwakilisha kupitia chama hicho mbadala; inawezekana maana ni haki yake ya kikatiba.

Hapo atapaswa kupima nguvu ya chama anachotoka na chama anakohamia kwa mustakabali wa maisha yake ya kisiasa. Awakumbuke waliowahi kuchukua hatua kama hiyo na hatma yao kisiasa ilikuwaje.

Pole Mheshimiwa; wewe siyo wa kwanza kukutwa na masaibu ya kuadhibiwa kwa kuzuwiwa kuhudhuria vikao vya bunge; wengi walishatumikia adhabu hiyo kwa nyakati tofauti na kwa viwango tofauti wakiwemo akina Mbilinyi, Mdee, Askofu Gwajima, Bulaya na wengineo.

Vuta subira Mheshimiwa; kuwa mtulivu na mstahimilivu, hili nalo litapita; ni ajali tu ya kisiasa.

Kama wapo; narudia, kama wapo wanaokuchagiza kupambana na kushindana na mamlaka, usiwasikilize.

Matokeo ya mapambano na mashindano hayo wewe ndiye utakayeumia, maana wewe umeshika makali na upande wa pili umeshika mpini.

Wewe ni mbunge kijana na msomi; jamii yako bado inakutegemea kuiwakilisha Usikilize moyo wako unachokuambia; Mungu akusaidie.
 
Naunga mkono hoja
 

Wewe endelea kusimama na majizi. Who knows, mostly likely you are a leftovers beneficiary of their satanic deeds..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…