Hongera mtani mpira sio uadui

Hongera mtani mpira sio uadui

Kwa timu inayoshiriki kombe la losers simba akajifunze nini? Kama ni mwanaume kilichomtoa klabu bingwa hadi kwa ma loser wenzake ni nini? Simba iheshimiwe.

Tangu 1998 hadi leo hata makundi klabu bingwa hajawahi kufika halafu simba ajifunze kwake ? Simba atajifunza kwa Wydad , aly ahly , Mamelodi Esprens lakini siyo kwa timu za kombe la losers.
Yaani Form six akajifunze kwa std seven ? Huo ni udharirishaji
Kombe la looser ambalo almanusa uchome uwanja kwa ajili ya mambo ya ulonzi na bado ukatolewa
 
Hilo ni kombe la losers, kombe la waliofeli. Mnataka kulipa ukuuuuuuubwa ambao halistahili. Huo ndiyo ukweli . Kama ulikuwa hujui hilo kamuulize Manara atakwambia ukweli wa hilo jambo
Mtu kama wewe ni hasara kwa Taifa imagine Manara ndio reference yako wewe na mavi ya kuku hamna tofauti
 
Mimi ni gempongeza Ya ga kama Angekuwa Club BINGWA CAFCL.

ANACHEZA NA WANAUME AKINA .

RAJA CASABLANCA.
WYDAD CASABLANCA.
ALHALY.
ZAMALECK.
MAMELOD.
KAIZER CHEEF.
OLANDO PAIRATES.

Hakika Hilo ni kombe la looser Na Mwaka una ma looser kibao.


Timu ya kushuka Daraja PSL IMETUSUMBUA sana Jana.

Mwenye akili afikiri.
Simba tumetolewa na Azam kombe gani?????
 
Back
Top Bottom