Hongera Mwakilema kwa kupandishwa kutoka Kamishna TANAPA hadi kuwa Mkuu wa Wilaya

Hongera Mwakilema kwa kupandishwa kutoka Kamishna TANAPA hadi kuwa Mkuu wa Wilaya

Hivi kapanda au kashuka
Inategemea unaangalia katika angle ipi. Kama unaangalia kwa issue ya maslahi, ni kuwa ameshuka. Ila kama unazungumzia mamlaka na hadhi/heshima basi amepanda. Kumbuka DC ni Mkuu wa Wilaya. Ni Mkuu wa Taasisi na Sekta zote zilizopo Wilayani kwake. Ni Mwakilishi wa Rais katika Wilaya. Kamishna ni kiongozi wa kisekta tu
 
kuna mmoja nae, alikuwa ceo wa taasisi kubwa kamahuyu baba, naona naye yalimpata kama hivi, sasa hivi ni lecturer wa chuo fulani.
 
Back
Top Bottom