Hongera Mwakyembe timu haiwezi kumilikiwa kwa njia za panya

Hongera Mwakyembe timu haiwezi kumilikiwa kwa njia za panya

Chelsea au manchester unted zina milikiwa na wawekezaji wangapi?

huu mchezo wa waziri na kilomoni ndio unawafanya watanzania washabikie timu za ulaya.

ningekua Mo ningeachana na uwekezaji ningedai pesa zangu zote tangu niwekeze alafu tuone mwisho wake.
Mo ni shabiki WA SSC Kwa hiyo ana uchungu na SSC,nashangaa mwakiembe ana interest gani na SSC ? Kilomoni Sawa alikuwaga mdhamini zamani at least
 
Tutalipa Bhana akwende zake. Mo Naye janja janja nyingi mno. Akiambiwa aweke 20b anaanza mara ooh ningejua ningenunua bank mara nimeshatoa Tayari 5b mara ooh nipeni kwanza hati ya jengo. Hasomeki ati. Bora kapigwa stop.
Tatizo nyie hamjui biashara na taratibu zake. Mo atajuaje 51% ya simba bila kuona mali zake, na mali zake bila nyaraka za uthibitisho haziwezi kuitwa mali za simba.
 
Mzee Kilomoni anasimamia haki inayotaka kuporwa na Mo. Tatizo vijana wa leo hamjui uchungu wa kubeba tofari kichwani.
Eh Mwenyezimungu saidia Mo ajiondowe Simba ili tuone hawa so called wenye simba wataiendesha vipi. Amin
 
Mtasubir sana mo aondoke , kumbe sisi wenyewe watanzania ndio.wachawi wa maendeleo ya soka..sisi ndio wendawazimu,
Mfano kama wewe mleta mada ,, mo ana pesa kibao, akiondoka simba wewe kwenye akaunt yako zitaongezeka pesa? Au utapewa wake kumi ukae nao, wachawi kama nyie tunawaombea mkifa mfe mkiwa mmepanua midomo na mimacho iwe imetoka kwa roho mbaya zenu
 
Uzuri waswahili wote wakina Kilomoni ni njaa tupu uwezo wa kununua hisa hawana bado Mo na familia yake watagawana hizo hisa 49% tuona Mwakyembe anakuja na lipi tena


Atasema Mwekezaji mwingine anatakiwa kutoka kwa wana ‘ZANU PF’
 
mfe mkiwa mmepanua midomo na mimacho iwe imetoka kwa roho mbaya zenu

Aise we unachagulia watu stail ya kufa!!!! Ahaha
Wewe utakufaje?
Mo akifuata kanuni atabaki Simba ila akiendeleza uhuni ataondoka mapema tu
 
Back
Top Bottom