Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kuwa kibaraka wa chichiem raha sanaKapanda DEFENDER mbele na KIPEPSI kaweka.... Dk5 tu... Huyu hapa karudi....!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kuwa kibaraka wa chichiem raha sanaKapanda DEFENDER mbele na KIPEPSI kaweka.... Dk5 tu... Huyu hapa karudi....!
Mo anaporaje haki sasa? Mpeni hizo 49 afanye yake.Mzee Kilomoni anasimamia haki inayotaka kuporwa na Mo. Tatizo vijana wa leo hamjui uchungu wa kubeba tofari kichwani.
Yaani sisi tuteseke kubeba mitofari kichwani halafu yeye aje achukue jengo mezani hatukubali.Mo anaporaje haki sasa? Mpeni hizo 49 afanye yake.
Mkuki kwa nguruwe eeh!!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Yanga wanafurahia kweli huu mvutano.
Mo ni shabiki WA SSC Kwa hiyo ana uchungu na SSC,nashangaa mwakiembe ana interest gani na SSC ? Kilomoni Sawa alikuwaga mdhamini zamani at leastChelsea au manchester unted zina milikiwa na wawekezaji wangapi?
huu mchezo wa waziri na kilomoni ndio unawafanya watanzania washabikie timu za ulaya.
ningekua Mo ningeachana na uwekezaji ningedai pesa zangu zote tangu niwekeze alafu tuone mwisho wake.
Tatizo nyie hamjui biashara na taratibu zake. Mo atajuaje 51% ya simba bila kuona mali zake, na mali zake bila nyaraka za uthibitisho haziwezi kuitwa mali za simba.Tutalipa Bhana akwende zake. Mo Naye janja janja nyingi mno. Akiambiwa aweke 20b anaanza mara ooh ningejua ningenunua bank mara nimeshatoa Tayari 5b mara ooh nipeni kwanza hati ya jengo. Hasomeki ati. Bora kapigwa stop.
Eh Mwenyezimungu saidia Mo ajiondowe Simba ili tuone hawa so called wenye simba wataiendesha vipi. AminMzee Kilomoni anasimamia haki inayotaka kuporwa na Mo. Tatizo vijana wa leo hamjui uchungu wa kubeba tofari kichwani.
Hamis Kilomoni the Untouchable
Hongera sana mzee Kilomoni
Huýo mzee hawamuwezi
Twende na Kilomoni hakuna ujanjaujanja hapa, mzee bakhresa alitaka kuwekeza 50bn, akamkatizia mbele.
Kutunza hati mpaka sasa dhidi ya majizi na mapigaji ya ponjoroUnampa hongera amefanya kipi cha maana simba
Uzuri waswahili wote wakina Kilomoni ni njaa tupu uwezo wa kununua hisa hawana bado Mo na familia yake watagawana hizo hisa 49% tuona Mwakyembe anakuja na lipi tena
Kwa usenge huu naomba kesho Stars ifungwe goli tano.