Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Jiungeni ccm sasaSukuma Gang mnaumia sana rudini kwenu Burundi mkachinjane huko,sisi tunataka amani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiungeni ccm sasaSukuma Gang mnaumia sana rudini kwenu Burundi mkachinjane huko,sisi tunataka amani
Uko sahihi.Ni vizuri kutumia mbinu zote kudai haki.. lakini hii mbinu ya kunyenyekea ina gharama pia..kumbuka mikutano ikianza inaweza kuwakera ccm(Samia ) wakaifuta Tena..maana inaonekana mikutano Ni utashi wa Rais aliyepo madarakani..
Waliompinga mbowe hoja yao Ni kwamba..kwanini tunabembeleza kufanya Jambo la haki kikatiba..
Walidhani Mbowe ata bow downKumbuka Mbowe alikamtwa na kusekwa ndani baada ya kutangaza kufanya mikutano ya kudai katiba mpya nchi nzima, akapewa kesi ya ugaidi na kukaa ndani miezi Saba. Alipotoka tu Rais kamwita wayamalize.
WellUkitumia njia ya mapambano utakuwa umekosa BUSARA na HEKIMA maana wewe na wenzako mtakufa tu na mnaopigana nao wataendelea kuishi.!!
Tazama Konyi wa Uganda na waasi wenzake dhidi ya serikali ya Uganda. Je, wamefanikiwa kuiangusha serikali ya Museveni..? Nenda Kongo DRC nk nk..
Kina Mbowe na wenzake wako kwenye njia sahihi kushughulika na utawala huu wa kimla chini ya CCM Kwa katiba ya JMT ya 1977...
Anaitwa Freeman.Wengi walikubeza wakasema umelamba asali, lkn juhudi na uvumilivu wako leo umezaa matunda. Hongera sana, pongezi kwa viongozi wote wa Chadema na vyama vingine, ushindi wa leo (kuondolewa kwa zuio la mikutano) ni ushindi wa wa Tanzania wote.
Wameridhiana nini Mkuu,maana mikutano ya kisiasa ni haki kikatiba,ilizuiwa kiubabe tu.Hoja za msingi bado, katiba mpya na tume ya uchaguzi.Pia kuna wafungwa wa kisiasa bado wapo ndani.Kwanini wasingemaliza michakato yote ndiyo waje kwenye Camera?Hii ya Leo ni mipasho tu!Wengi walikubeza wakasema umelamba asali, lkn juhudi na uvumilivu wako leo umezaa matunda. Hongera sana, pongezi kwa viongozi wote wa Chadema na vyama vingine, ushindi wa leo (kuondolewa kwa zuio la mikutano) ni ushindi wa wa Tanzania wote.
Pamoja na Hongera hizi na mafanikio haya.Wengi walikubeza wakasema umelamba asali, lkn juhudi na uvumilivu wako leo umezaa matunda. Hongera sana, pongezi kwa viongozi wote wa Chadema na vyama vingine, ushindi wa leo (kuondolewa kwa zuio la mikutano) ni ushindi wa wa Tanzania wote.
Kama ilizuiwa kibabe na ikasimama huwezi kubeza aliyeiruhusuWameridhiana nini Mkuu,maana mikutano ya kisiasa ni haki kikatiba,ilizuiwa kiubabe tu.Hoja za msingi bado, katiba mpya na tume ya uchaguzi.Pia kuna wafungwa wa kisiasa bado wapo ndani.Kwanini wasingemaliza michakato yote ndiyo waje kwenye Camera?Hii ya Leo ni mipasho tu!
Kama tulivyopigania mengine na hili nalo hatujachoka. Hatua kwa hatuaPamoja na Hongera hizi na mafanikio haya.
Lazima tukubaliane KATIBA KATIBA mpya ni muhimu.
Hili lilikuwa ni swala la katiba ilipondwa na mwendazake!
Hivyo hata Rais asionekane kama kafanya jambo jipya, na yeye alikuwa mmoja katika uongozi angeliweza kumshauri JPM wakati ule anasigina KATIBA!!
Sent from my T810S using JamiiForums mobile app
Hata Mia ilianza na Moja, ni wafungwa wangapi wa kisiasa (2020) wameshaachiwa wengine walifungwa maisha leo wako mitaani.Wameridhiana nini Mkuu,maana mikutano ya kisiasa ni haki kikatiba,ilizuiwa kiubabe tu.Hoja za msingi bado, katiba mpya na tume ya uchaguzi.Pia kuna wafungwa wa kisiasa bado wapo ndani.Kwanini wasingemaliza michakato yote ndiyo waje kwenye Camera?Hii ya Leo ni mipasho tu!
Yeye ni rais na rais ni taasisi yenye mamlaka ya juu nchini.Yeye ni nani hadi awe na mamlaka ya kitu kilichomo kwenye katiba?
Kitoa tamko lingine la zuio mnaanza kutafuta tena maridhiano?
Bravo👊 siasa ni uvumilivu...huyu jamaa kafaulu hapoMbowe kusema kweli ni mtu wa kipekee kabisa;
Ameumizwa sana lakini hajawahi kuhimiza ubaya.
Amesingiziwa mengi lakini yeye hakuwahi kumsingizia yoyote.
Huyu ni mzalendo na mpenda nchi yake kuwa na ustawi kwa faida ya wote na sio wachache.
Bravo Kamanda Mbowe
Ajabu sana hii nchi ni mwendo wa siasa mabembelezo badala ya siasa wajibu.Ni ajabu jambo la kikatiba kutolewa kama hisani