Hongera Mwamba Freeman Mbowe Mwasisi wa Maridhiano

Uko sahihi.
 
Kumbuka Mbowe alikamtwa na kusekwa ndani baada ya kutangaza kufanya mikutano ya kudai katiba mpya nchi nzima, akapewa kesi ya ugaidi na kukaa ndani miezi Saba. Alipotoka tu Rais kamwita wayamalize.
Walidhani Mbowe ata bow down
 
Well
 
Anaitwa Freeman.
Hili jina ni la ushindi
 
Wameridhiana nini Mkuu,maana mikutano ya kisiasa ni haki kikatiba,ilizuiwa kiubabe tu.Hoja za msingi bado, katiba mpya na tume ya uchaguzi.Pia kuna wafungwa wa kisiasa bado wapo ndani.Kwanini wasingemaliza michakato yote ndiyo waje kwenye Camera?Hii ya Leo ni mipasho tu!
 
Pamoja na Hongera hizi na mafanikio haya.
Lazima tukubaliane KATIBA KATIBA mpya ni muhimu.
Hili lilikuwa ni swala la katiba ilipondwa na mwendazake!
Hivyo hata Rais asionekane kama kafanya jambo jipya, na yeye alikuwa mmoja katika uongozi angeliweza kumshauri JPM wakati ule anasigina KATIBA!!

Sent from my T810S using JamiiForums mobile app
 
Kama ilizuiwa kibabe na ikasimama huwezi kubeza aliyeiruhusu
 
Kama tulivyopigania mengine na hili nalo hatujachoka. Hatua kwa hatua
 
Hata Mia ilianza na Moja, ni wafungwa wangapi wa kisiasa (2020) wameshaachiwa wengine walifungwa maisha leo wako mitaani.
 
Yeye ni nani hadi awe na mamlaka ya kitu kilichomo kwenye katiba?

Kitoa tamko lingine la zuio mnaanza kutafuta tena maridhiano?
Yeye ni rais na rais ni taasisi yenye mamlaka ya juu nchini.
 
Bravo👊 siasa ni uvumilivu...huyu jamaa kafaulu hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…