Hongera MwanajamiiOne!!

Hongera MwanajamiiOne!!

Happy birthday MJ1.....may you grow to be toothless! na uwe na vitukuu vingi tu vya kukunnywesha uji!!!
 
Nimefurahi kukuongezea siku.

Aah! Keren we bado sana tatizo huanza ukikaribia 40 utaanza kuwa sensitive na age yako.

Hahahahah....unanifurahisha uporoto unavyoongea kama vile wanijua...🙂 huwezi kujua kwanini na mimi nataka kama dada yako..:lol:
 
Hahahahah....unanifurahisha uporoto unavyoongea kama vile wanijua...🙂 huwezi kujua kwanini na mimi nataka kama dada yako..:lol:
Mi nakufahamu labda umenisahau nilikupa hankechief ukafutia jasho usoni nikakuachia lol!
 
hongera mrembo wetu MJ1. kuna ka wimbo nilitaka kukuimbia lakini nimekasahau, nikikakumbuka nitakalembea hewani tuserebuke.
 
Back
Top Bottom