Hongera mwenzetu SAIDI YAKUBU

Hongera mwenzetu SAIDI YAKUBU

Logic ya kuhoji nani kasoma au hakusoma at this stage sidhani kama ni muhimu. Tuangalie na anamchango gani ktk taifa. Pamoja na CCM iliosheheni wasomi, nini wamefanyia taifa hili? ufisadi na vyeti bandia!
 
Elimu haina Mwisho. Education's purpose is to replace an empty mind with an open one!
Congrats SY!!
 
Majita, wakati mwingine asiyejua maana haambiwi maana; kwa vile mtu anajua hiki anadhani pia anajua kile basi wengine tunakaa pembeni kusubiri apewe elimu. Sasa mtu atakuwa na ujasiri wa kuomba radhi au kukubali kusahihishwa. I don't think so.

Bulga bwana ilikuwa na utamu wake wa pekee!

Na UMRI pia una mchango wake hapa. Wangapi tulikuwa shule enzi hizo za BULGA na mkate wa SIHA?
 
Eti na yule Dr. Tamba wa Magomeni nyie mlioko Dar? Ni Dr. wa Philosophy au ni Dr. Mitishamba. Hlafu wengine nilipita mahali fulani nikakututa kinyozi wa nywele chini ya mti naye anajiita Dr. Yaani jamani hili neno Dr. Si mchezo tusilitumie hovyo. Eti na yule Dr. Mponjoli ni dr wa nini, au ndo cheocha juu katika wizi wa magari????Mi naona Mponjoli aitwe Professor maana kama anathubutu kuiba ughaibuni huko basi amedhihirishia umma kuwa amepita PhD level. Du sijui nami nijiite Dr. Majoka???? Ila naamini huyu Dr. Majoka sehemu zetu za usukumani au kule Tanga atakuwepo??? Ngoja nifikirie jina lingine!!!!!!
 
Elimu haina Mwisho. Education's purpose is to replace an empty mind with an open one!
Congrats SY!!


Safi sana. Nami nitajitahidi nikale kitabu cha PhD. I dislike honorary PhDsssssssss za akina Nchimbi, Nagu, Lwakatare na wengine!!! Mwishowe I am aiming to be a really Professor. Niko half way!!!!!!
 
Safi sana. Nami nitajitahidi nikale kitabu cha PhD. I dislike honorary PhDsssssssss za akina Nchimbi, Nagu, Lwakatare na wengine!!! Mwishowe I am aiming to be a really Professor. Niko half way!!!!!!

Hongera SY na kila la heri Maane.
 
Una uhakika na ushahidi unao kuwa hana? Kwanza unamjua huyu mtu anayejiita Mwanakijiji?

Hivi kwani mwanakijiji bado ni mtu asiyejulikana?Ngabu ukisoma Cheche kweli unashindwa kumjua mwanakijiji ni yupi kati ya timu nzima?Hata ukisoma ile mada ya Vitu vya lazima unashindwa tu kumjua mwanakijiji ni nani?
 
Hongera mkuu kwa Nondo.

Pia,waatu bwana! Kama suala ni kukanyaga shule tu au kukanyaga university mbona hata walinzi ambao hawajaingia hata nursery wanakuwepo?
 
Back
Top Bottom