Hongera na pole Balozi Siwa. Je, utaiweza TISS au TISS itakuweza?

Je Unafikiri uteuzi DG MPYA TISS kila wakati una maslahi kwa USALAMA wa TAIFA?

  • Ndio

    Votes: 46 22.1%
  • Hapana

    Votes: 162 77.9%

  • Total voters
    208
Ko mkuu mtu kateuliwa, halafu hafanyi vizuri tumuache? Akizingua hata huyu atolewe tu, hakuna mtu mkubwa kuliko taifa kwamba una chance hata ukizingua tusikutoe kisa ni spy master
Ni sahihi hakuna mtu mkubwa kuliko taifa. Ni imani yangu ya dhati kwamba huelewe sababu ya alitenguliwa kutenguliwa. Kwa hiyo usishangae huenda katenguliwa kwa sababu aliweka mbele maslahi ya taifa!!

WATU WAMENUIA KULAMBA ASALI. AU UMESSHAU KAULI YA MZEE MAKAMBA?
 
Mkuu huu uzi utanoga baada ya codes kuwa decoded kwa sasa acha kwanza watu wakeshe masaa 72 kuangalia utabiri wa hali ya hewa.
Unapokata mbuyu muda wooote uko macho mpaka uhakikishe umelala mahala pake vinginevyo unaweza kukulalia wewe ukapotea. Tuwe na subira
 
Just Imagine wew ndo Rais alafu Mkuu wa usalama anaangalia taarifa za Mdude nyalali anataka kupindua nchii zikisambaaa mpaka kushikiwa Bango na IGP????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nyalaliiii... yani system nzima ikitakiwa kusepaaa
Unasemaje kuhusu yule aliejiwasha moto kule Tunisia na kuibua maandamano hadi Rais akakimbia nchi unadhani usalama wangefanya nini?
Au unafikiri Mdude hawezi kuwa mwana Usalama na akapewa kazi ya kufanya kazi kama hizo? Kuongoza nchi kwa njia iliyosalama na njia ya giza siyo lelemama ndugu.
 
Why uteuzi huu.
1. kbg imo katika kumteua siwa
2. 'Syndicate' kwenye halmashauri/wilaya vyombo havifanyi kazi ipasanyo hadi mfumo una chepushwa
Watendaji kimya tiss haiteki action just inajua tatizo but no solution.
3. Uzoefu mdogo wakajifunze.
4. Je Diwali yuko wapi
TISS IWE NA TISS OLD NA NEW.
C1, C2 & C3
 

Ww uliyeandika hii mada ni mhuni huna nia njema na nchi na wala huna nidhamu kabisa umeandika ujinga tu hapa
 
Hata jiwe alikuwa na resources za kutosha mwisho wa picha walimnywa,

Mtoa mada anajua kuna kitu hakipo sawa jikoni, pengine naye ni teeth ameji disguise kwa ID fake anatema nyongo then anarudi kwenye majukumu yake
 
Mkuu nna hakika kabisa Kwa asilimia 40% kwa hizo operational Strategies ulizoanddika Wewe ni usalama au upo Katika MIU (Maana Hawa pia huwa Na chanell na TISS) Na wanajiita Usalama pia Na ulichokisema nakuunga mkono kwa 100% ...
cuz Kuongeza moles kwenye sytem kunaweza Athiri mifumo yote ikiwemo hata hiyo Military System na PU Au wnaiita PSU (Presidential Secret Unit) Ambayo wao huwajibika kwa Rais peke yake Japo kiuhalisia PSU Kwa Tanzania Huwajibika kwa Katibu mkuu Kiongozi na Hiyo ndo Hatari sana kwani mfumo mzima wa Uwajibikaji wake hugusa mpka wastaafu (Hili ni classfied sana kuliongelea kwa leo)...

KIPI KILITAKIWAA KUFANYIKA......

When the Intelligence system Corrupt.. Hatumwajibishi Director General but tunacorrect mistakes Iliyosababisha icorrupt..
Tujikumbushe kidogo Kuhusu CIA Na FBI kama tunakumbuka Lakini..

Baada ya vita vya pili ya dunia na tishio la uvamizi laa USSR huenda ni moja ya chanzo kilicho mjulisha Rais Franklin Roosevelt kuwa mifumo ya kiusalama nchini humo inahitaji kuwa Imara na zaidi ya mmoja na ndo Kupitia Presidential Millitary Order Mnamo mwaka 1942 akawa kaanzisha OSS (Office of strategic services) na baadae alipokuja Rais Harry S Truman mwaka 1945 akasign Excutive order ili kuifuta hiyo OSS kusema kuwa ilikuwa inajikita sana kwenye vita kuliko Kulinda maslahi mapana ya nchi kama kuzuia na kuchunguza Japo alipata Upinzani mkubwa kutoka kwa Vigogo wa FBI lakini mwaka 1947 alifanikiwa kuanzisha CIA ikiwa chini ya Jimmy forestal
Japo baadaye CIA ilibidi ideal na mambo ya Nje na matishio ya kimataifa na Baadae FBI ikadeal na domestic ((HII ni story ndefu sana atleast wangeweza kuipitia kujua wapi walipokosea na pia kuikumbuka historia yote mpaka kuanzishwa kwa hizi unit mbili marekani......
Historia ni nzuri cuz inatufundisha wenzetu walikabilaliana vipi na hiyo mikiki mikiki...

My Take
TISS imekuwa ikishughulika sana na Kulinda Maslahi ya Kiti cha urais ambayo kiuhalisia ni kazi ya PSU Na MIU Na hiyo ni nzuri Japo walipaswa kujikita Katika kuangalia Maslahi mapana ya Taifa so me napendekeza Kuanzishwe mamlaka ambayo yenyewe itakuwa inadeal na Profiling na Classfied Top security ambayo itapewa mamlaka ya kiuchunguzi na Detainment ambayo inaweza kuwa chini ya NATIONAL intelligence services (NIS) ...

Kingine mifumo yetu yote ya USALAMA na Ulinzi ipeane Taarifa na IJifunze kushare Taarifa Muhimu (Isije ikatokea Kama maswala ya FBI na CIA Yaliyosababisha Kutokea kwa Mlipuko wa MABOMU september 11) Pia wajue zipi siri ziwe clasfied kulingana na Profile level...... Unashangaa siri za ikulu ambazo ni clasfied eti mpaka Inspector alyoko Tunduru anajua ....Juzi Nilishangaa sana naona mtandaoni eti mtu anajua mpaka Ndege ya Rais ilipo (This Is dangerous kwa Nchi tena sana...) mtu baki anajua safari za Rais kama Ye ndo PA wa Rais tuvadilike na mifumo ya kiusalama inatakiwa kubadilishwa itoke kwenye uzamani ule wa miaka ya 1970's kuja kwenye hii ya sayansi.....
 
Hata jiwe alikuwa na resources za kutosha mwisho wa picha walimnywa,

Mtoa mada anajua kuna kitu hakipo sawa jikoni, pengine naye ni teeth ameji disguise kwa ID fake anatema nyongo then anarudi kwenye majukumu yake
Ukimsoma mleta mada analalamikia wakuu wa tiss wanatolewa kwa sababu ya fitna na majungu.

Anaweza akawa ni mmoja wa waathirika wa hilo jambo au akawa ni sehemu ya hilo tatizo la fitna na majungu.

Hii Taasisi tatizo lao wameathiriwa sana na siasa. Na aliyeharibu hii taasisi ni Rais wa Awamu ya 5.


Kuteuliwa kwa huyu kachero wa siku nyingi inaweza kuwa moja ya njia ya kulitafutia dawa hili suala.

All in all. Hakuna shida yeyote. Wakuu wa CIA wanabadilishwaga mara kwa mara na bado taifa la Marekani linaendelea kuwa imara bila kutetereka. General Patreous alikuwa mkuu wa CIA kwa miaka isiyozidi 3 na hata aliyemtangulia hakuzidi miaka 3.
 
Why uteuzi huu.
1. kbg imo katika kumteua siwa
2. 'Syndicate' kwenye halmashauri/wilaya vyombo havifanyi kazi ipasanyo hadi mfumo una chepushwa
Watendaji kimya tiss haiteki action just inajua tatizo but no solution.
3. Uzoefu mdogo wakajifunze.
4. Je Diwali yuko wapi
TISS IWE NA TISS OLD NA NEW.
C1, C2 & C3
 
kulingana na mtiririko wa bandiko lako na ukweli wa mambo ulivyo hii idara bora ibadilishwe jina na kuitwa idara ya usalama wa Rais / na vigogo wa serikali na maslahi yao
 
duh hatar

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…