Hongera na pole Balozi Siwa. Je, utaiweza TISS au TISS itakuweza?

Hongera na pole Balozi Siwa. Je, utaiweza TISS au TISS itakuweza?

Je Unafikiri uteuzi DG MPYA TISS kila wakati una maslahi kwa USALAMA wa TAIFA?

  • Ndio

    Votes: 46 22.1%
  • Hapana

    Votes: 162 77.9%

  • Total voters
    208
Ukionesha kwenda kinyume na matakwa ya mteuaji unawekwa kando hata uwe nani na hakuna utakachofanya na u spy master wako.

Wangapi wamewekwa pembeni hao wakurugenzi wakuu na hawafurukuti kwa lolote?

Huwa mnajidanganya sana kudhani hiyo idara ina nguvu kiasi hicho.

Idara yenyewe inapokea maagizo hata kutoka kwa mwenyekiti wa uvccm halafu ulinganishe na nguvu ya mkuu wa nchi?
Shida wameajiri tu vijana wengi ambao baba zao ni wenyeviti wa CCM wilaya na mikoa. Ikitaka Hadi majina nitakupa.

Wakati wa mkutano wa Human Capital kwenye sehemu walizo lala maraisi wageni vilimwagwa vitoto ambavyo ukiviangalia unabaki kusikitika. Hii idara hamna kitu imeshakwisha. Tanzania tumeumia
 
Presidential decree....

Mama anafanya vile anavyoona inapaswa....

Mama ana "sources" nyingi za info zaidi ya hao anaowateua.....

Kubwa zaidi ni usalama wa rais wetu kipenzi na kubwa zaidi ni muendelezo wa utulivu wa taifa hili bora barani afrika [emoji120]

#Mwenyezi Mungu umlinde Rais wetu kipenzi SSH ,amen [emoji120]

#SiempreJMT amen[emoji120]
Nyie machawa hamna tofauti na malaya, huwa mkiona tonge tu akili zote makalioni
 
Shida wameajiri tu vijana wengi ambao baba zao ni wenyeviti wa CCM wilaya na mikoa. Ikitaka Hadi majina nitakupa.

Wakati wa mkutano wa Human Capital kwenye sehemu walizo lala maraisi wageni vilimwagwa vitoto ambavyo ukiviangalia unabaki kusikitika. Hii idara hamna kitu imeshakwisha. Tanzania tumeumia

Ah

Apiaa
 
Ko mkuu mtu kateuliwa, halafu hafanyi vizuri tumuache? Akizingua hata huyu atolewe tu, hakuna mtu mkubwa kuliko taifa kwamba una chance hata ukizingua tusikutoe kisa ni spy master
Ni sahihi hakuna mtu mkubwa kuliko taifa. Ni imani yangu ya dhati kwamba huelewe sababu ya alitenguliwa kutenguliwa. Kwa hiyo usishangae huenda katenguliwa kwa sababu aliweka mbele maslahi ya taifa!!

WATU WAMENUIA KULAMBA ASALI. AU UMESSHAU KAULI YA MZEE MAKAMBA?
 
Back
Top Bottom