Hongera na pole Balozi Siwa. Je, utaiweza TISS au TISS itakuweza?

Je Unafikiri uteuzi DG MPYA TISS kila wakati una maslahi kwa USALAMA wa TAIFA?

  • Ndio

    Votes: 46 22.1%
  • Hapana

    Votes: 162 77.9%

  • Total voters
    208
Hiyo Taasisi inatumika vibaya sana na ccm ndo maana kazi yao ni kuua na kung'oa mtu meno akisema ukweli
 
Ko mkuu mtu kateuliwa, halafu hafanyi vizuri tumuache? Akizingua hata huyu atolewe tu, hakuna mtu mkubwa kuliko taifa kwamba una chance hata ukizingua tusikutoe kisa ni spy master
Wewe mburula huu sio uzi wa makubazi....

Sensitive agenda hii....

Jinyamazie kimya wacha upumbavu wako wa smartphone!
Shwine wewe!
 
Mkuu umeandika sana kwa kweli.John katuachia kizaa zaa sie wanyonge ila draft lilikuwa upande wake kabisa.
 
Moyo wa nchi unapitia magumu mengi. Idara haijawahi kufanyiwa mabadiliko ya kiwango hiki. Tumuombee mzee Siwa airudishe nchi kwenye mstari. Hawa wazee wanaweza kumsaidia mama, let's hope tunaweza kuanza kuona mabadiliko
Dhidi ya wajomba au na yeye atakuwa mswalia mtume Mwarabu apewe bandari
 


Madam President Samia Suluhu Hassan [emoji3581]
Rais Dokta Samia Suluhu Hassan [emoji3581]

Mama Samia [emoji3582]
Rais Mama Samia [emoji3582]
 
natamani sana huyu mama adabu imshike.
 

Umeambiwa husifanye mchezo na TISS ambayo ni TANZANIA INTELLIGENCE & SECURITY SERVICES.





Kuhusu mapinduzi nchi nyingine unatafsiri vipi hii ;
CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) ?
 
Hii Vita ya Brics Ni vita kubwa kuliko kutokea ambayo Marekani hawezi kushindwa kuipigana sahz anawacheck tu kwanza kaanza kumchokonoa saudia huko na kama currency ikianza kutumika huo ndo utakuwa mwisho wa USA
Dunia inabadilika
Covid 19
Vita Ukraine 🇺🇦
Brics
So tubadilike. sera za kbg is communist / ujamaa zinashuka.

Watendaji:
1. Sabotage
2. Malezi mabaya ushoga through miradi
3. Mauaji kila mara
4. wanashindwa kutetea Bandari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…