Hongera na pole Balozi Siwa. Je, utaiweza TISS au TISS itakuweza?

Je Unafikiri uteuzi DG MPYA TISS kila wakati una maslahi kwa USALAMA wa TAIFA?

  • Ndio

    Votes: 46 22.1%
  • Hapana

    Votes: 162 77.9%

  • Total voters
    208
Mazingira fulani ya ka ukweli!
 
Very True
 

Kwa uchambuzi huu pole yao waliotangulizwa mbele za haki. Ya kuwa wawili hawa wengine, walitakiwa kuwahi haraka mno, kwa yule mwana JF mwenzetu mwingine aliyetokomea ulaya kwa mabeberu huko kwa usalama wake.
 
Mikwara hii na ndio kichaka cha kujifichia hawa watu, kiukweli katika idara zilizotufelisha katika nchi hii hawa jamaa wamo mbele na wanatumika sana na wanasiasa kutimiza matakwa ya kisiasa zaidi kuliko maendeleo. Hizi ndio taasisi mkoloni aliziunda kujihalalishia ufedhuli wao, na CCM wanapita mule mule, sie watanzania ukituambia hii kitu ni muhimu tunaona kama wanaoteuliwa ni makada kama makada wengine na hawana maana yeyote katika maisha yetu ya kila siku zaidi shobo tu katika ulinzi wa viongozi. Hawa wanaiba kula badala ya kuacha fair play nchi ipate watu wenye sifa matokeo yake wewe shahidi. Jeshi la Polisi na Tiss ndio idara za kufutilia mbali kwanza kama tunataka mabadiliko katika nchi hii humu wameweka watoto wao.
 
Ulielewa kweli nilichokisema? Unajuaje Mdude alitumwa kufanya hivyo bila yeye kujua lakini waliomtuma walitaka kujaribu utimamu wa wananchi pamoja na viongozi walengwa kwenye hiyo nyanja?
Kila kitu kinachotokea kinakuwa na sababu yake. Nchi inakuwa na wanausalama wanaolipwa siyo chini ya 300 unadhani wote unajua majukumu yao?
 
Ko mkuu mtu kateuliwa, halafu hafanyi vizuri tumuache? Akizingua hata huyu atolewe tu, hakuna mtu mkubwa kuliko taifa kwamba una chance hata ukizingua tusikutoe kisa ni spy master
Lakini nadhani hamjamuelewa tahadhari yake anayowapa!! Sawa akizingua muondoweni wakati huo huo mjue kuwa hao mnaowaondoa sio makatibu kata bali watu ambao wana mizizi yao hukoTISS kiasi kwamba wanaweza kumdhoofisha Samia katika utawala wake. Hiyo ndio caution aliyowapa! Mnapofanya haya mabadiliko msiwe na mihemko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…