Lwamadovela
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 324
- 235
Shida iko hapa TISS wana miliki kadi za sisiemu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juzi Alikuwa Kusini kwenye 40 ya La Mdimu!Kwani Yeriko mara hili tu tayari alisha rudi tokea kwenye msiba wa swahiba yake Yevgeny Prigozhin?
Mazingira fulani ya ka ukweli!Naandika andiko hili nikiwa ndani ya Ofisi yangu ya mpya ya Centre for Strategic Intelligence and Clandestine Operation hapa ndani ya kijiji chetu hiki kdogo.
Rais wangu Samia Suluhu, najua kazi ya Urais ni Ngumu Sana, ila TRUST me kwamba ni kazi rahisi sana. Tatizo wanoko ni wengi na wanaoitaka pia ni wengi.
Hata hivyo leo sizungmzii cheo chako cha URAIS bali nazungumzia Uteuzi wako wa Mkurugenzi wa TISS. Kwa uelewa na uzoefu wangu. TISS ni kama Serikali ndani ya serikali. Kwa lugha nyingine Unapoteua Mkurugenzi wa TISS ni sawa na Umeteua Alternative Preseident au Rais mbadala kwani nyenzo alizo nazo ni sawa na nyenzo ulizo nazo isipokuwa yeye anakuwa hana Political Accoutability na wakti huo huo anakuwa na njia za kutengeneza Mazingira ya Plausible Deniability.
Sasa hili ni somo ambalo unahitaji muda na utulivu ili ulielewe. Ila nataka ufahamu kwamba Mkurugenzi wa TISS kwa chini huwa anakuwa na mamlaka sawa na uliyo nayo wewe. Kama ambavyo wewe unaweza kumtengua wakati wowote basi hata yeye ana uwezo na resources za kufanya hivyo.
Sasa nimesikia umetengua na kuteua mwingine. Unachosahau ni kwamba "Once a spy, always a spy"Ukishateua Mkuu wa TISS anapata clearance kubwa sana katika masuala ya taarifa na usalama wa nchi. Anakuwa na access ya resources zote za nchi. Zaidi mwaka huu mmewatungia sheria ya kuwapa kinga ya kutowajibika kisheria which means matendo yao hata kama yatakuwa ya kihalifu bado wanaweza kuepuka wajibikaji wa kisheria.
Sasa iko hivi, kwa sasa TISS ina spy masters watatu ambao wako around na wako nje na ndani ya Mfumo, Kipilimba, Diwani, na Masoro na sasa huyu bwana Siwa.
Iko hivi hawa wote ni Spy masters whether wako nje au ndani ya mfumo.
Ndio maana unapowatoa uhakikishe kwamba unaweza kuundoa Uspy master wao na hilo unajua kwamba huwezi.
Ndio maana huwa unapotaka kumtoa usimtoe kwasababu ya Makosa ya kiusalama au kwa sababu ya umbea au kwa sababu ya kukosa uvumilivu.
Spy masters hawajibishwi kama anavyo wajibishwa waziri au DC,Spy Craft ni mchezo tofauti sana.Ukitaka kufahamu hilo JIULIZE kilichofanya Imran Kombe akauwawa kama JAMBAZI ilihali wengine waliowahi kuwa wakuu wa kitengo waliendelea kuwepo ingawa baada ya wao na kujaribu ku activate mitandao yao walipigwa na kitu kizito.
Sasa umeteua DG mpya ambaye bila shaka unalo file lake na huenda linakuvutia hasa ukizngatia kwamba alishakaa kwa PAKA so anaweza kuwa na ka cv kazuri ila TRUST me huenda kwenye MEZA yako kuna mafili ambayo bado hujayasoma na kuyapitia vizuri na ukija kuyafikia unaweza kushawishika kufanya uteuzi mwingine tena ambalo nalo litakiwa kosa la KIMKAKATI.
Hawa jamaa wote wanaweza wa "Kagang UP" against you na hakuna unachoweza kufanya kwa sababa wanayo access ya taarifa na resources ambazo ww unajua uwezo wake.
Sasa lengo sio kuleta hofu bali kuchokoza mjadala tu kuhusu tatizo lililoko katika IDARA yetu ya USALAMA wa TAIFA.
Ila uelewe vizuri nitakukumbusha hadithi ya bwana Mdogo Ole Sabaya ambaye aliwahi hata kufoji kitambulisho ka cha TISS na kujiita Afisa Kipenyo wakati akiwa mwenyekiti wa UVCCM Arusha na wapo wengi kama yeye, So unapobadili Wakurugenzi Jiulize iwapo Tatizo ni TISS au ni Wakurgenzi wa TISS?
Madam President, Fahamu kwamba TISS sio CID wala sio Military Intelligence UNIT ingawa kimajukumu, TISS anaweza kuingia katika hayo maeneo yote ila sio CID wal MIU wanaweza kuingia katika maeneo ya TISS so ni muhimu tukajiuliza iwapo TISS imevamiwa na KIRUSI na inahitaji kupigwa Immune Booster nani ataipiga immune booster?
Kuna kipindi mm binafsi niliona au kuhisi kwamba Utawala wako uliamua kutumia JU(Jeshi la kupambana na Ujangili kama TISS mpya so nikafikiri umegundua TATIZO na unalitafutia Suluhu kama Ulivyo wewe.
Tatizo kwa sisi wenye macho ya Rohoni tuliingia katika Sala, maombi na kufunga na tukagundua kwamba kulikuwa tu na mambo fulani ya wajomba zako ulikuwa unawatumia jamaa wa juu kuyaweka Sawa. Anyway hiyo issue kila mtu atakuwa ameshaijua hasa tukisikia stori za Loliondo
Sasa fahamu hili, huwezi kupata TISS bora kwa kutumia TISS katika muundo na utaratibu wake wa Sasa. TISS ambayo ilifanya kazi enzi za Mwalimu sio Sawa na TISS ambayo inafanya kazi enzi hizi. Imagine mimi hapa nilipo nawez kuona patern of errors unazofanya bila hata kuwa na taarifa za jikoni unadhani hao ambao wana access ya taarifa za jikoni wanaona nini kama sio zaidi ya haya.
Sasa nataka ujilulize. Je unafikiri TISS ni kama wizara ambapo unaweza kubadili katibu mkuu na kazi ikaendelea? Hapana.SPIES are trained not TRUST.
So kadiri unavyoleta na kubadili wakuu wa TISS ndivyo idadi ya MOLES inaongezeka ndani ya IDARA na Badala ya kuwa idara ya Usalama wa Taifa na inakuwa ni Idara ya Kupika Majungu, vijembe, fitna na kukomoana. TRUST me ikiendelea kuwa hivyo hata wewe utapewa Majungu, utapigwa vijembe utafanyiwa Fitna na hata kukomolewa mwishoni Utakumbuka Kamsemo "WHo will Watch the Watchers"
Nimechokoza mjadili, hayo mengine sijui kama ni ya kweli niko hapa pembeni ninaendelea kupata Madini wala sijajificha.
Very TrueNaandika andiko hili nikiwa ndani ya Ofisi yangu ya mpya ya Centre for Strategic Intelligence and Clandestine Operation hapa ndani ya kijiji chetu hiki kdogo.

Naandika andiko hili nikiwa ndani ya Ofisi yangu ya mpya ya Centre for Strategic Intelligence and Clandestine Operation hapa ndani ya kijiji chetu hiki kdogo.

Niyasome wakati nilikuwepo. Bwana mdogo, sisi tushaona mengi. We know who's worse when we see one.Akina Tuntemeke Sanga?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]
Hujayasoma yale yaliyomkuta?!!
Urais si uprofesa.....urais si PhD....acha ujinga [emoji1787]
Karibu wanzuki [emoji120]
Kuna kitu nimeelewa, kweli nchi bado ina vichwa ila umbeleko unatusumbua...John gone early?Mkuu umeandika sana kwa kweli.John katuachia kizaa zaa sie wanyonge ila draft lilikuwa upande wake kabisa.
Mikwara hii na ndio kichaka cha kujifichia hawa watu, kiukweli katika idara zilizotufelisha katika nchi hii hawa jamaa wamo mbele na wanatumika sana na wanasiasa kutimiza matakwa ya kisiasa zaidi kuliko maendeleo. Hizi ndio taasisi mkoloni aliziunda kujihalalishia ufedhuli wao, na CCM wanapita mule mule, sie watanzania ukituambia hii kitu ni muhimu tunaona kama wanaoteuliwa ni makada kama makada wengine na hawana maana yeyote katika maisha yetu ya kila siku zaidi shobo tu katika ulinzi wa viongozi. Hawa wanaiba kula badala ya kuacha fair play nchi ipate watu wenye sifa matokeo yake wewe shahidi. Jeshi la Polisi na Tiss ndio idara za kufutilia mbali kwanza kama tunataka mabadiliko katika nchi hii humu wameweka watoto wao.Naandika andiko hili nikiwa ndani ya Ofisi yangu ya mpya ya Centre for Strategic Intelligence and Clandestine Operation hapa ndani ya kijiji chetu hiki kdogo.
Rais wangu Samia Suluhu, najua kazi ya Urais ni Ngumu Sana, ila TRUST me kwamba ni kazi rahisi sana. Tatizo wanoko ni wengi na wanaoitaka pia ni wengi.
Hata hivyo leo sizungmzii cheo chako cha URAIS bali nazungumzia Uteuzi wako wa Mkurugenzi wa TISS. Kwa uelewa na uzoefu wangu. TISS ni kama Serikali ndani ya serikali. Kwa lugha nyingine Unapoteua Mkurugenzi wa TISS ni sawa na Umeteua Alternative Preseident au Rais mbadala kwani nyenzo alizo nazo ni sawa na nyenzo ulizo nazo isipokuwa yeye anakuwa hana Political Accoutability na wakti huo huo anakuwa na njia za kutengeneza Mazingira ya Plausible Deniability.
Sasa hili ni somo ambalo unahitaji muda na utulivu ili ulielewe. Ila nataka ufahamu kwamba Mkurugenzi wa TISS kwa chini huwa anakuwa na mamlaka sawa na uliyo nayo wewe. Kama ambavyo wewe unaweza kumtengua wakati wowote basi hata yeye ana uwezo na resources za kufanya hivyo.
Sasa nimesikia umetengua na kuteua mwingine. Unachosahau ni kwamba "Once a spy, always a spy"Ukishateua Mkuu wa TISS anapata clearance kubwa sana katika masuala ya taarifa na usalama wa nchi. Anakuwa na access ya resources zote za nchi. Zaidi mwaka huu mmewatungia sheria ya kuwapa kinga ya kutowajibika kisheria which means matendo yao hata kama yatakuwa ya kihalifu bado wanaweza kuepuka wajibikaji wa kisheria.
Sasa iko hivi, kwa sasa TISS ina spy masters watatu ambao wako around na wako nje na ndani ya Mfumo, Kipilimba, Diwani, na Masoro na sasa huyu bwana Siwa.
Iko hivi hawa wote ni Spy masters whether wako nje au ndani ya mfumo.
Ndio maana unapowatoa uhakikishe kwamba unaweza kuundoa Uspy master wao na hilo unajua kwamba huwezi.
Ndio maana huwa unapotaka kumtoa usimtoe kwasababu ya Makosa ya kiusalama au kwa sababu ya umbea au kwa sababu ya kukosa uvumilivu.
Spy masters hawajibishwi kama anavyo wajibishwa waziri au DC,Spy Craft ni mchezo tofauti sana.Ukitaka kufahamu hilo JIULIZE kilichofanya Imran Kombe akauwawa kama JAMBAZI ilihali wengine waliowahi kuwa wakuu wa kitengo waliendelea kuwepo ingawa baada ya wao na kujaribu ku activate mitandao yao walipigwa na kitu kizito.
Sasa umeteua DG mpya ambaye bila shaka unalo file lake na huenda linakuvutia hasa ukizngatia kwamba alishakaa kwa PAKA so anaweza kuwa na ka cv kazuri ila TRUST me huenda kwenye MEZA yako kuna mafili ambayo bado hujayasoma na kuyapitia vizuri na ukija kuyafikia unaweza kushawishika kufanya uteuzi mwingine tena ambalo nalo litakiwa kosa la KIMKAKATI.
Hawa jamaa wote wanaweza wa "Kagang UP" against you na hakuna unachoweza kufanya kwa sababa wanayo access ya taarifa na resources ambazo ww unajua uwezo wake.
Sasa lengo sio kuleta hofu bali kuchokoza mjadala tu kuhusu tatizo lililoko katika IDARA yetu ya USALAMA wa TAIFA.
Ila uelewe vizuri nitakukumbusha hadithi ya bwana Mdogo Ole Sabaya ambaye aliwahi hata kufoji kitambulisho ka cha TISS na kujiita Afisa Kipenyo wakati akiwa mwenyekiti wa UVCCM Arusha na wapo wengi kama yeye, So unapobadili Wakurugenzi Jiulize iwapo Tatizo ni TISS au ni Wakurgenzi wa TISS?
Madam President, Fahamu kwamba TISS sio CID wala sio Military Intelligence UNIT ingawa kimajukumu, TISS anaweza kuingia katika hayo maeneo yote ila sio CID wal MIU wanaweza kuingia katika maeneo ya TISS so ni muhimu tukajiuliza iwapo TISS imevamiwa na KIRUSI na inahitaji kupigwa Immune Booster nani ataipiga immune booster?
Kuna kipindi mm binafsi niliona au kuhisi kwamba Utawala wako uliamua kutumia JU(Jeshi la kupambana na Ujangili kama TISS mpya so nikafikiri umegundua TATIZO na unalitafutia Suluhu kama Ulivyo wewe.
Tatizo kwa sisi wenye macho ya Rohoni tuliingia katika Sala, maombi na kufunga na tukagundua kwamba kulikuwa tu na mambo fulani ya wajomba zako ulikuwa unawatumia jamaa wa juu kuyaweka Sawa. Anyway hiyo issue kila mtu atakuwa ameshaijua hasa tukisikia stori za Loliondo
Sasa fahamu hili, huwezi kupata TISS bora kwa kutumia TISS katika muundo na utaratibu wake wa Sasa. TISS ambayo ilifanya kazi enzi za Mwalimu sio Sawa na TISS ambayo inafanya kazi enzi hizi. Imagine mimi hapa nilipo nawez kuona patern of errors unazofanya bila hata kuwa na taarifa za jikoni unadhani hao ambao wana access ya taarifa za jikoni wanaona nini kama sio zaidi ya haya.
Sasa nataka ujilulize. Je unafikiri TISS ni kama wizara ambapo unaweza kubadili katibu mkuu na kazi ikaendelea? Hapana.SPIES are trained not TRUST.
So kadiri unavyoleta na kubadili wakuu wa TISS ndivyo idadi ya MOLES inaongezeka ndani ya IDARA na Badala ya kuwa idara ya Usalama wa Taifa na inakuwa ni Idara ya Kupika Majungu, vijembe, fitna na kukomoana. TRUST me ikiendelea kuwa hivyo hata wewe utapewa Majungu, utapigwa vijembe utafanyiwa Fitna na hata kukomolewa mwishoni Utakumbuka Kamsemo "WHo will Watch the Watchers"
Nimechokoza mjadili, hayo mengine sijui kama ni ya kweli niko hapa pembeni ninaendelea kupata Madini wala sijajificha.
Pascal mayala Hana kitu atakuja kujaza link humuDuh
Ngoja waje Pascal Mayalla na Yericko Nyerere
Ina Influence kwenye dunia ya nani?Nchi ina watu zaidi ya milioni 60
Ina jeshi na power na influence duniani
Lakini account moja ya kwenye Twitter imeshindikana.
Unless ni ya Samaki na maji
Ulielewa kweli nilichokisema? Unajuaje Mdude alitumwa kufanya hivyo bila yeye kujua lakini waliomtuma walitaka kujaribu utimamu wa wananchi pamoja na viongozi walengwa kwenye hiyo nyanja?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wee acha masiharaa aiseee...!! Hivi unaposema nchi huwa unachukuliaje hili suala.. Jimwagie mafuta ujiwashe motoo uonee kama hata utakuwa habari zaidi ya kuhisiwa ulikuwa na matatizo ya akilii...!! Tuna matatizo mengi sana na makubwa ya kuhitaji action kama hizo lakini bado tumelala kama Makobee sasa leo kuja kutangaza hadharani Nchi kubwa kama hii Rais anataka kupinduliwaa just kwa political adv ni uzuzu mkubwa sanaa...
Lakini nadhani hamjamuelewa tahadhari yake anayowapa!! Sawa akizingua muondoweni wakati huo huo mjue kuwa hao mnaowaondoa sio makatibu kata bali watu ambao wana mizizi yao hukoTISS kiasi kwamba wanaweza kumdhoofisha Samia katika utawala wake. Hiyo ndio caution aliyowapa! Mnapofanya haya mabadiliko msiwe na mihemko!Ko mkuu mtu kateuliwa, halafu hafanyi vizuri tumuache? Akizingua hata huyu atolewe tu, hakuna mtu mkubwa kuliko taifa kwamba una chance hata ukizingua tusikutoe kisa ni spy master
[emoji23][emoji23][emoji23] HV kweli Lucas anaweza kujadili jambo hapa mm binfsi nitulie tu labda nimuiteTujiunge na wachambuzi wenzetu kutoka pale George Bush Center For Intelligence, Langley, Virginia yalipo Makao Makuu ya CIA.
Mpaka sasa Lucas Mwashambwa hajawasili katika uzi huu?