Hongera na pole Balozi Siwa. Je, utaiweza TISS au TISS itakuweza?

Je Unafikiri uteuzi DG MPYA TISS kila wakati una maslahi kwa USALAMA wa TAIFA?

  • Ndio

    Votes: 46 22.1%
  • Hapana

    Votes: 162 77.9%

  • Total voters
    208
Ko mkuu mtu kateuliwa, halafu hafanyi vizuri tumuache? Akizingua hata huyu atolewe tu, hakuna mtu mkubwa kuliko taifa kwamba una chance hata ukizingua tusikutoe kisa ni spy master
Msome tena, nahisi ujamuelewa vizuri...

Binafsi nimekuelewa idarani kuna majungu...
 
Sio kweli mbona Cuba ni maskini lakini ina wavaa mawani makini.
 
Ni ngumu sana kuona ukiwa nje ya maono unatakiwa uwe ndani ya maono kuona kilichomo kwenye maono ya ndani ssa SAMIA hawezi kuona yaliyomo ndani ingawa yye yupo ndani huyu nae atakaaa kwa muda wa kma walivyokaaa wenzake
 
Yt..
 
Ni kweli hufahamu kuwa Siwa alikuwa DOI enzi za Upson? Hujui Kipilimba na Diwani hawakuwa na uzoefu ktk idara kama Siwa. Tena Kipilimba aliomba kuondoka akiwa mdogo mno hata uzoefu hakuwa nao. Upson mwenyewe aliteuliwa akitokea Mgulani JKT. FYI RO yupo, Kina Mombo wapo TISS bado na wqnafanya naye kazi vema tu. Wliiweza idara kina Kipilimba na Diwani itakuwa Siwa.
 
Naona mnacomment kinyonge sana baada ya mamaenu kupigwa za uso,kilichoandikwa kimejaa ukweli hayo mambo ya teua tengua ndani ya miezi nane sio jambo jepesi.

Acha inyeshe TUJUE PANAPOVUJA.

Lucas leo yukwapi?nasubiri comment yake naona analike tu
 
Elewa tu, "once a DG always a DG.

Usinisemeshe mengi.

Uki
Ila huyu mmemuonea miezi 8 tu hakika MMEANDIKA historia hakujawahi hii kutokea tangu Uhuru.....kuna maDG walitoboa mpaka 10yrs+ mamaenu analala anataka anatengua mfikishieni meseji hiyo
 
Bado na jiuliza, hivi unamuwekaje pembeni mtu aliye simamia na kuwezesha kukipita kile kipindi cha mpito wa ule msiba mkuu wa Taifa.???!!!!
 
Paragraph ya kwanza umekataa kwamba hawakuhofia siri KUVUJA, kisha ukasema aliponzwa na kumpa siri nzito mzee Mrema [emoji16][emoji16][emoji16]naomba niseme tu kwamba huna AKILI
 
Umeanza GRANDEUR DELUSION zako [emoji1787][emoji1787]

Niko gado mno...clinic yako iko hapo Ar Rahma nije unifanyie DR kile kipimo cha tezi dume ugundue uyatakayo ?!!!

Lete hoja kuntu we dada wa ujombani mchambawima...

Dalili mmoja wapo wa beki kutokukaba ni uharo kutoka hovyo.


Ashakum si matusi.













FYI: Mimi ni Msukuma wa Mwanza, Misungwi Jiwe kuu. Wabhejah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…