Hongera na pole Balozi Siwa. Je, utaiweza TISS au TISS itakuweza?

Je Unafikiri uteuzi DG MPYA TISS kila wakati una maslahi kwa USALAMA wa TAIFA?

  • Ndio

    Votes: 46 22.1%
  • Hapana

    Votes: 162 77.9%

  • Total voters
    208
Moyo wa nchi unapitia magumu mengi. Idara haijawahi kufanyiwa mabadiliko ya kiwango hiki. Tumuombee mzee Siwa airudishe nchi kwenye mstari. Hawa wazee wanaweza kumsaidia mama, let's hope tunaweza kuanza kuona mabadiliko
Mtu mwenyewe ni mzee aliyesahaulika kustaafu!! Ana zaidi ya miaka 64!! Naona angeteuliwa Dr Slaa tu kwenye kitengo hiki!! Hiki kitengo kinadai uzalendo wa hali ya juu sana!!
 
Paragraph ya kwanza umekataa kwamba hawakuhofia siri KUVUJA, kisha ukasema aliponzwa na kumpa siri nzito mzee Mrema [emoji16][emoji16][emoji16]naomba niseme tu kwamba huna AKILI
Jamaa alitaka kuwa mkurugenzi akihamishwa au kuondolewa kazini labda ili kuhofia asitoe siri ni kuwa auwawe au kuwekwa kizuizini,na akatolea mfano kifo cha nimran kombe .
Ndio nikamuelewesha yule kifo chake kilichangia kwa kuhofiwa alikuwa anampa mrema siri kipindi hicho.
 
Hivi ukiwa spy master huwezi kuzidiwa kete na kuomba umwachie mwingine ? Mbona kama mnawafanya hawa watu kama Roboti, hivi kuwa hawana mapungufu , au wao wanadunia yao ya kutokuwa na mapungufu au kukosea ?
 
Muu,sijasema usimtoe nimesema hao sio MADC ambao unawatoa tu.Spy Master Akizingu unampa kitu kizito kama Vladmir Puttin kwa yule boss wa Wagner.ILA hakikisha amezingua kweli sio Kakataa ujinga wako then useme itakuwa Rahisi kwako kumuondoa....
Mmmh utawafanyia hivyo wangapi ? Pia wateuliwa wote na watenguliwaji wanajua sheria na miiko ya kiapo Chao kabla na baada ya kazi hiyo na kwenda kinyume na hilo sheria zipo na nchi haijalala ujue hivyo.?
 
Patreous sababu zake zinajulikana alinogewa na penzi akaanza kumshirikisha mchepuko mambo ambayo hakupaswa kushiriki. Vipi kuhusu huyu ambaye miezi 8 hajafikisha sababu ni ipi zaidi ya kutolinda maslahi ya mama na wajomba zake?
 
Angalia orodha ya wakurugenzi wa CIA. Wengi wanakaa madarakani mwaka 1, miaka 2 hadi 3.
 
Angalia orodha ya wakurugenzi wa CIA. Wengi wanakaa madarakani mwaka 1, miaka 2 hadi 3. View attachment 2732480

Kuwalinganisha na huku kwetu ni uongo na si sahihi. Mbona hio list yako inaonekana wamekaa more than 1 year wengi wao na hata hao waliokaa muda mchache kuna sababu yakuondolewa kwao na ina mashiko zaidi.

Huku kwetu miezi 8 ? Hata acting Dg wanakaa zaidi ya hio miezi 8 sababu ya kutolewa huku ni ipi zaidi ya kutoendana na matakwa ya aliyeko juu.

Waliokaa madarakani mwaka 1 ni wawili tu na kuna sababu kwanini walikaa mwaka 1
 
D Dogo nimeacha kusoma makala yako maana si kweli kuwa Aboud Jumbe alivuliwa madaraka Butiama, bali Dodoma.
Aliyekuhadithia mwambie anyooshe maneno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…