Hongera na pole Balozi Siwa. Je, utaiweza TISS au TISS itakuweza?

Je Unafikiri uteuzi DG MPYA TISS kila wakati una maslahi kwa USALAMA wa TAIFA?

  • Ndio

    Votes: 46 22.1%
  • Hapana

    Votes: 162 77.9%

  • Total voters
    208
Nimejaribu tu kuwaza hivi kama kustafu au kutenguliwa kwao kuna leta shida kwa nchi maana yake uadilifu wao ni mdogo sana.
Wanaweza kufanya chochote kibaya hata wakiwa ofisini bado

Je, hii inathibitisha zile tetesi za kwamba wateuaji huwa wanaweka watu wao kwa ajili ya kulinda maslahi yao kiasi kwamba lazima awe chini ya mbawa zake muda wote wa kukalia kiti?

Kwamba Merits pekee haziwafanyi wateuliwe ila kujuana kiundani ni sehemu ya CV?
 
Duh sahivi hii nafasi mbona kama inachukuliwa poa...
Kwenye uteuaji siyo kama miaka ya nyuma

Ova


Sio kwamba nyakati zimebadirika na yale mambo ambayo mwanzo yalionekana abominable kwa ajili ya uelewa finyu ama nidhamu ya uoga na unafiki, yameanzwa kuachwa?

Maana sioni ubaya wa kumtengua mtendaji hasiyekidhi viwango vinavyohitajika kwa mujibu wa sheria za nchi na Katiba.

Inakuaje mtendaji anapogeuka threat kwa taifa, aachwe kwa kufuata utamaduni wa miaka ya nyuma?

Ubaya unakuja pale ambapo maslahi binafsi yanawekwa mbele kabla ya maslahi ya Taifa.
 

Hapo mwisho kwenye maslahi umma ndo akili ilianza kutulia lkn kwa bahati mbaya haujapaendeleza
 
Ulikuwa mbele ya muda
 
Ewaaaaaa. Nimeshiba madini
 
Maneno mazito sana haya ila inavyoelekea Samia ameamua kweli kweli kuwa chura kiziwi hataki kusikia kitu. Ngoja tuone huu mchezo utakwisha kwishaje.
 
Lucas Mwashambwa soma madini haya ukue kiakili mdogo wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…