Hongera na pole Balozi Siwa. Je, utaiweza TISS au TISS itakuweza?

Je Unafikiri uteuzi DG MPYA TISS kila wakati una maslahi kwa USALAMA wa TAIFA?

  • Ndio

    Votes: 46 22.1%
  • Hapana

    Votes: 162 77.9%

  • Total voters
    208
Ko mkuu mtu kateuliwa, halafu hafanyi vizuri tumuache? Akizingua hata huyu atolewe tu, hakuna mtu mkubwa kuliko taifa kwamba una chance hata ukizingua tusikutoe kisa ni spy master
Haya ndiyo mawazo ya ki DP world.

Kila kitu poa tu. Ilimradi liende.

Nb: ungesoma kwa kuelewa usingekuwa na mawazo ya kijinga km haya
 
Huu mzigo umekaa vizuri.
 


Alikuwaga ubalozi Abu Dhabi ambako ndiyo makao makuu ya UAE ambako Dubai ni jimbo dada. Sasa sababu ni DP World au….
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…