Hongera na pole Balozi Siwa. Je, utaiweza TISS au TISS itakuweza?

Je Unafikiri uteuzi DG MPYA TISS kila wakati una maslahi kwa USALAMA wa TAIFA?

  • Ndio

    Votes: 46 22.1%
  • Hapana

    Votes: 162 77.9%

  • Total voters
    208
Hujui Nguvu ya TISS wewe, tulia kwa Wazazi wako hapo.
Yaani jeshi likitaka kudanya mapinduzi hakuna wa kuzuia ikiwemo hiyo tiss.

Sasa nguvu yake ipo wapi hapo?

Tumeshuhudia baadhi ya nchi wakuu wa majeshi wakitoa masaa 24 kwa Rais kujiuzulu vinginevyo wanafanya mapinduzi na inakiwa hivyo.

Sasa wakati jeshi linatoa onyo hilo hiyo tiss ya nchi husika inakuwa wapi?
 
Just Imagine wew ndo Rais alafu Mkuu wa usalama anaangalia taarifa za Mdude nyalali anataka kupindua nchii zikisambaaa mpaka kushikiwa Bango na IGP????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nyalaliiii... yani system nzima ikitakiwa kusepaaa
Mzee wa masikhara naona umepita kutusabahi kidogo [emoji1787]
 
Muu,sijasema usimtoe nimesema hao sio MADC ambao unawatoa tu.Spy Master Akizingu unampa kitu kizito kama Vladmir Puttin kwa yule boss wa Wagner.ILA hakikisha amezingua kweli sio Kakataa ujinga wako then useme itakuwa Rahisi kwako kumuondoa....
Hao watamalizana wenyewe,usitake umwingize mama mkenge

Halafu,kama hiyo ndio suluhu,mbona jiwe lilimung'unyuka likashindwa hata kumaliza ngwe 😀😀😀
 
KJ kazi yake kuweka watu wakumlindia maslahi,
 
Mh!!
 
Elewa tu, "once a DG always a DG.

Usinisemeshe mengi.

Uki
 
Aisee...kuna kitu kiko/hakiko sawa.
 
Nataka tu niseme kuwa nimeisoma ila sitachangia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…