Hongera na pole Balozi Siwa. Je, utaiweza TISS au TISS itakuweza?

Je Unafikiri uteuzi DG MPYA TISS kila wakati una maslahi kwa USALAMA wa TAIFA?

  • Ndio

    Votes: 46 22.1%
  • Hapana

    Votes: 162 77.9%

  • Total voters
    208
Shida wameajiri tu vijana wengi ambao baba zao ni wenyeviti wa CCM wilaya na mikoa. Ikitaka Hadi majina nitakupa.

Wakati wa mkutano wa Human Capital kwenye sehemu walizo lala maraisi wageni vilimwagwa vitoto ambavyo ukiviangalia unabaki kusikitika. Hii idara hamna kitu imeshakwisha. Tanzania tumeumia
 
Nyie machawa hamna tofauti na malaya, huwa mkiona tonge tu akili zote makalioni
 

Ah

Apiaa
 
Ko mkuu mtu kateuliwa, halafu hafanyi vizuri tumuache? Akizingua hata huyu atolewe tu, hakuna mtu mkubwa kuliko taifa kwamba una chance hata ukizingua tusikutoe kisa ni spy master
Ni sahihi hakuna mtu mkubwa kuliko taifa. Ni imani yangu ya dhati kwamba huelewe sababu ya alitenguliwa kutenguliwa. Kwa hiyo usishangae huenda katenguliwa kwa sababu aliweka mbele maslahi ya taifa!!

WATU WAMENUIA KULAMBA ASALI. AU UMESSHAU KAULI YA MZEE MAKAMBA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…