Hongera na pole Balozi Siwa. Je, utaiweza TISS au TISS itakuweza?

Je Unafikiri uteuzi DG MPYA TISS kila wakati una maslahi kwa USALAMA wa TAIFA?

  • Ndio

    Votes: 46 22.1%
  • Hapana

    Votes: 162 77.9%

  • Total voters
    208
Ila mtu mwenye miaka 70 amestaafu miaka 10 nyuma kwenye operation na unamteua kweli ataweza ku match na watendaji wa sasa ambao age yao ni 45 mpaka 60.
Kama ningekuwa mimi ningependekeza Julius Kam Mganga mstaafu wa NSSF ambaye anajua kuwa elewesha kila mtu kwa nafasi yake anapaswa kufanya nini.mission na vision.na pia panapoharibika ni nani wa kuwajibika na ana maneno makali panapobidi.
 
Huyu alitaka kumpanda nyerere kichwani nyerere nae akamuwahi.
Nyerere alikuwa kidume. Nakumbuka nikiwa mtoto. Jumbe akatua uwanja wa Musoma. Hata akusalimia kamati ya ulinzi mkoa aliwapungia tu mkono na kuingia garini kuelekea Butiama.

Nakumbuka alionekana mtu mwenye mawazo sana. Muda mwingi alikuwa amejiinamia. Japo na utoto wangu nikajiuliza kwanini huyu amekuja kwa ghafla na dhararu wakati ni Makamu wa Rais na pia Rais wa Zanzibar?
Kikawaida wakati ule kila kiongozi anae fika Musoma. Alipokelewa na chipukizi na kuvishwa skafu pia kukabidhiwa mauwa.

Nikiwa wakati huo miongoni mwa chipukizi wa kudumu kupokea wageni wa kitaifa na kimataifa. Nilisogea karibu na kamati ya ulizi na usalama ili kupata umbea.

Wengi hawakuwa na furaha, nilipata habari kuwa anaweza ondolewa au kuvuliwa Urais. Nilirejea zangu nyumbani. Kilichoendelea Butiama hakikuwa cha kufurahisha. Abdu Jumbe aliondoka kimya kimya. Na kurudi Dar. Na ilitangazwa kuwa si tena Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, na wala si Makamu wa Rais. Ndipo Ally Hassan Mwinyi akateuliwa.

Abdu Jumbe akazuiwa asiende popote. Na kubaki Kigamboni.
Nirudi kwenye mada, kiusalama hasa wa Ikulu na usalama wa Rais, si rahisi na si vizuri kubadili mkurugenzi wa usalama wa Taifa kama ilivyo kwa viongozi wa kisiasa.

Mkurugenzi wa Usalama ndiyo mtu wa kwanza wa karibu kabisa na Rais ambaye anajua mengi si tu usalama bali mfumo mzima wa nchi ulivyo na unavyo kwenda.
Mkurugenzi huyu chini yake ana ma RSO na ma DSO na watumishi wengine vificho kibao. Swali je ameimarikaje ktk kujenga mitandao yake kwa hawa walio chini yake?
Mkurugenzi anawatu wake mpaka huko nje ya nchi balozini. Anawatu wake jeshini, polisi, magereza, na ofisi za umma na hata mashirika binafsi.

Mkurugenzi wa Usalama si mtu mdogo. Uwezi fanya mapinduzi ktk nchi bila kushirikisha watu wa usalama na hasa walio Ikulu.

Hivyo Rais awe makini, aisondoe mtu kisa tu kakataa kukubaliana na unachotaka. Viongozi wetu wanajisahau kuwa Usalama hawapo kutekeleza matakwa ya Rais. Bali wapo kwa matakwa ya nchi na raslimali zake. Watakulinda kiongozi wa nchi kwa sababu upo kulinda maliasili za nchi na kutetea maslahi ya Taifa.

Unapokwenda kinyume na maslahi ya Taifa, au kukiuka Katiba. Wanauwezo wa kutumia namna yoyote kukumaliza au kukuondoa madarakani.

Jumbe aliagiza watu wa usalama kwa mamlaka yake. Lakini hao hao ndo walio mnyang'anya passport na kumuweka chini ya ulinzi. Na kuzuiwa kigamboni.

Rais uwezi ukapewa kila kitu cha TISS. Utapewa habari ile wao watakayo amua ujulishwe. Lakini wanapokuchunguza wewe Rais uwezi pewa taarifa zako. Hizo ni zao wao wenyewe.

Trump aliondolewa na haohao watu wa usalama.

Mama Rais wetu, nakuona unavyojimwambafai, ukidhani huko salama saana. Ukidhani waokupa ushauri wanajua kila kitu. Kuwa makini.

Mageuzi uletwa na watu wa chini kabisa hata kama ni wanajeshi uwa si wale wajuu wenye vyeo, bali wa ngazi ya chini. Na hao wakubwa wanapata info zote toka kwa hawa wa nchini.

Utawabadili sana hao wakurungezi wa TISS, ila fahamu humo humo TISS mama umechokwa. Kwanza unaupendeleo. Kuna namna fulani unawatu wako unao wapa kipaumbele. Kuna watu hawafurahii. Usije muondoa mtu amabe alikuwa kesha jenga mifumo yote vizuri, na pengine ndo angekuwa msaada wako mkuu. Unapo mtoa kuna baadhi watabaki na vinyongo na hasa waliokuwa wanamsujudu.

Si kweli kwamba mtu akistaafu au kuachishwa ndo kwaheri hapati info. Ha ha ha! Hawa watu kumbuka wamekaa wakajijenga wanaelewa nini kinaendelea. Uwezi koswa wafuasi.

Magufuli alipomuondoa Kipilimba roho tu iliniuma ghafla. Nikajiuliza huyu alikuwa tayari kesha jenga mizizi. Anae kuja ni mgeni kwenye ofisi. Mpaka aanze kujijenga, lolote au chochote chaweza tokea. Penye mabadiliko ndo mara nyingi kunakuwa na mianya ya chochote. Matokeo uwa ni baadae.
 
Sasa iko hivi, kwa sasa TISS ina spy masters watatu ambao wako around na wako nje na ndani ya Mfumo, Kipilimba, Diwani, na Masoro na sasa huyu bwana Siwa.

Iko hivi hawa wote ni Spy masters whether wako nje au ndani ya mfumo.

Ndio maana unapowatoa uhakikishe kwamba unaweza kuundoa Uspy master wao na hilo unajua kwamba huwezi.
Thanks for this, nimemkumbuka Hutaki Unaacha!. Siku za nyuma niliwahi kuuliza Wimbi la maofisa Polisi, Jeshi na Usalama wa Taifa, kustaafu kwa mpigo, sio tishio kwa usalama?
RO yupo, Jack Zoka yupo, Kipilimba yupo, it's very true hawa jamaa wanakuwa wengi!.

P
 
Ukimsoma mleta mada analalamikia wakuu wa tiss wanatolewa kwa sababu ya fitna na majungu.

Anaweza akawa ni mmoja wa waathirika wa hilo jambo au akawa ni sehemu ya hilo tatizo la fitna na majungu.

Hii Taasisi tatizo lao wameathiriwa sana na siasa. Na aliyeharibu hii taasisi ni Rais wa Awamu ya 5.

Kuteuliwa kwa huyu kachero wa siku nyingi inaweza kuwa moja ya njia ya kulitafutia dawa hili suala.

All in all. Hakuna shida yeyote. Wakuu wa CIA wanabadilishwaga mara kwa mara na bado taifa la Marekani linaendelea kuwa imara bila kutetereka. General Patreous alikuwa mkuu wa CIA kwa miaka isiyozidi 3 na hata aliyemtangulia hakuzidi miaka 3.

Huwa nashindwa kuelewa ujinga wa watu wa taifa dogo (kimaendeleo) linapojifananisha na taifa Kama USA!

Kwamba utendaji wa CIA na TISS unarandana?

Kwamba watendaji wake ubora na ubovu wao vinashabihiana kati ya CIA na TISS?

Legal & Justice System ya USA unaifananisha na ya Tanzania?

Life style, norms and traditions zao ni Sawa na hapa kwetu?

Mazingira ndio kiongozi namba moja wa utendaji majukumu wa mtendaji yeyote yule popote pale.

Unayo background history ya utendaji kazi wa TISS kabla ya 1995?

Wakati wa mabadiliko ya Mfumo wa kisiasa nchini Mwaka 2000 ulikua ushazaliwa?
 
Nyerere alikuwa kidume. Nakumbuka nikiwa mtoto. Jumbe akatua uwanja wa Musoma. Hata akusalimia kamati ya ulinzi mkoa aliwapungia tu mkono na kuingia garini kuelekea Butiama.

Nakumbuka alionekana mtu mwenye mawazo sana. Muda mwingi alikuwa amejiinamia. Japo na utoto wangu nikajiuliza kwanini huyu amekuja kwa ghafla na dhararu wakati ni Makamu wa Rais na pia Rais wa Zanzibar?
Kikawaida wakati ule kila kiongozi anae fika Musoma. Alipokelewa na chipukizi na kuvishwa skafu pia kukabidhiwa mauwa.

Nikiwa wakati huo miongoni mwa chipukizi wa kudumu kupokea wageni wa kitaifa na kimataifa. Nilisogea karibu na kamati ya ulizi na usalama ili kupata umbea.

Wengi hawakuwa na furaha, nilipata habari kuwa anaweza ondolewa au kuvuliwa Urais. Nilirejea zangu nyumbani. Kilichoendelea Butiama hakikuwa cha kufurahisha. Abdu Jumbe aliondoka kimya kimya. Na kurudi Dar. Na ilitangazwa kuwa si tena Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, na wala si Makamu wa Rais. Ndipo Ally Hassan Mwinyi akateuliwa.

Abdu Jumbe akazuiwa asiende popote. Na kubaki Kigamboni.
Nirudi kwenye mada, kiusalama hasa wa Ikulu na usalama wa Rais, si rahisi na si vizuri kubadili mkurugenzi wa usalama wa Taifa kama ilivyo kwa viongozi wa kisiasa.

Mkurugenzi wa Usalama ndiyo mtu wa kwanza wa karibu kabisa na Rais ambaye anajua mengi si tu usalama bali mfumo mzima wa nchi ulivyo na unavyo kwenda.
Mkurugenzi huyu chini yake ana ma RSO na ma DSO na watumishi wengine vificho kibao. Swali je ameimarikaje ktk kujenga mitandao yake kwa hawa walio chini yake?
Mkurugenzi anawatu wake mpaka huko nje ya nchi balozini. Anawatu wake jeshini, polisi, magereza, na ofisi za umma na hata mashirika binafsi.

Mkurugenzi wa Usalama si mtu mdogo. Uwezi fanya mapinduzi ktk nchi bila kushirikisha watu wa usalama na hasa walio Ikulu.

Hivyo Rais awe makini, aisondoe mtu kisa tu kakataa kukubaliana na unachotaka. Viongozi wetu wanajisahau kuwa Usalama hawapo kutekeleza matakwa ya Rais. Bali wapo kwa matakwa ya nchi na raslimali zake. Watakulinda kiongozi wa nchi kwa sababu upo kulinda maliasili za nchi na kutetea maslahi ya Taifa.

Unapokwenda kinyume na maslahi ya Taifa, au kukiuka Katiba. Wanauwezo wa kutumia namna yoyote kukumaliza au kukuondoa madarakani.

Jumbe aliagiza watu wa usalama kwa mamlaka yake. Lakini hao hao ndo walio mnyang'anya passport na kumuweka chini ya ulinzi. Na kuzuiwa kigamboni.

Rais uwezi ukapewa kila kitu cha TISS. Utapewa habari ile wao watakayo amua ujulishwe. Lakini wanapokuchunguza wewe Rais uwezi pewa taarifa zako. Hizo ni zao wao wenyewe.

Trump aliondolewa na haohao watu wa usalama.

Mama Rais wetu, nakuona unavyojimwambafai, ukidhani huko salama saana. Ukidhani waokupa ushauri wanajua kila kitu. Kuwa makini.

Mageuzi uletwa na watu wa chini kabisa hata kama ni wanajeshi uwa si wale wajuu wenye vyeo, bali wa ngazi ya chini. Na hao wakubwa wanapata info zote toka kwa hawa wa nchini.

Utawabadili sana hao wakurungezi wa TISS, ila fahamu humo humo TISS mama umechokwa. Kwanza unaupendeleo. Kuna namna fulani unawatu wako unao wapa kipaumbele. Kuna watu hawafurahii. Usije muondoa mtu amabe alikuwa kesha jenga mifumo yote vizuri, na pengine ndo angekuwa msaada wako mkuu. Unapo mtoa kuna baadhi watabaki na vinyongo na hasa waliokuwa wanamsujudu.

Si kweli kwamba mtu akistaafu au kuachishwa ndo kwaheri hapati info. Ha ha ha! Hawa watu kumbuka wamekaa wakajijenga wanaelewa nini kinaendelea. Uwezi koswa wafuasi.

Magufuli alipomuondoa Kipilimba roho tu iliniuma ghafla. Nikajiuliza huyu alikuwa tayari kesha jenga mizizi. Anae kuja ni mgeni kwenye ofisi. Mpaka aanze kujijenga, lolote au chochote chaweza tokea. Penye mabadiliko ndo mara nyingi kunakuwa na mianya ya chochote. Matokeo uwa ni baadae.
Maneno meeeengiiii....

Kisu cha Presidential decree kinasimamia maslahi mapana....yeyote anaweza kuteuliwa na kutenguliwa muda wowote.... conspiracy theories hazisaidii ....
 
"Kwa uelewa na uzoefu wangu. TISS ni kama Serikali ndani ya serikali."

Alafu kabla uliandika.....

"Naandika andiko hili nikiwa ndani ya Ofisi yangu ya mpya ya Centre for Strategic Intelligence and Clandestine Operation hapa ndani ya kijiji chetu hiki kdogo."

hata TISS yenyewe huijui😊... anyways! Umejitahidi, pumzika kwa amani ukiwa huna unalolijua wala kulielewa lakini kuna mapopoma na vichwa mchungwa (Kama mnavyowasemaga na kuwaita) hawalali kwa ajili yenu, ila hamna shukran. Hao unaowataja na kuwaundia scenario ya kihalifu na kimapinduzi ubavu huo hawana, wathubutu basi waone 😊😊😊

Nafkiri kila kitu kiko sawa 😊👍🏾
 
Maneno meeeengiiii....

Kisu cha Presidential decree kinasimamia maslahi mapana....yeyote anaweza kuteuliwa na kutenguliwa muda wowote.... conspiracy theories hazisaidii ....
Akili fupi uwa haiangalii kwa hupana.

Hii tabia ya watanzania kutokuwa na tabia ya kupenda kusoma, kila ukiandika utasikia maneno mengiiii! Ha ha ha! Ndo maana wabunge wanakubali ndiyo huku hawajasoma mkataba. Na Viongozi wa nchi wanaingia mikataba ya kijinga isiyo na maslahi kwa Taifa kisa uvivu wa kusoma.

Nilipo jiunga chuo kimoja nje, niligundua wenzetu wanapenda kusoma sana na kwa kirefu. Na maswali yao ni "Between the lines"
Hivyo sibabaiki na akili fupi yenye kulalamika! Ndo wale wale wasio soma mikataba. Ha ha ha!
 
Back
Top Bottom