Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Hongera kwao navykenzo kwa wimbo wa KATIKA umefikia watazamaji Milioni moja ndani ya siku mbili na bado unashika nafasi ya kwanza kwa kutazamwa Tanzania.
Na bila kusahau clouds media wamempost diamond kwa Mara ya pili baada ya ile ya davido.
Hongera kenzo navy.
Na bila kusahau clouds media wamempost diamond kwa Mara ya pili baada ya ile ya davido.
Hongera kenzo navy.