Hongera ndugu zetu Waislamu. Wakristo tujifunze kwa hili kutoka kwa ndugu zetu

Ieleweke kwamba, Kwaresma sio miongoni mwa shughuli za Kikristo, hilo ni tamko la Roman Catholic kwa mujibu wa utaratibu wao, hakuna popote kwenye Biblia utakutana na hicho kitu, waislamu wao, mwezi wa Ramadan ipo kwenye vitabu vyao tofauti na kwaresma. Kwa Wakristo hakuna siku au mwezi maalumu ya kufunga, wanao fungal siku 40 wapo wengi, siku 30 au 21 kama zinavyo onekana kwa manabii kama Daniel nk. Unafunga kulingana na hitaji lako au la kanisa au taifa, I can assure you, Wakristo funga yao ni ngumu kuliko hi ya Waislam au hi ya Kwaresma, kipindi cha uchaguzi specifically Wakristo huaga wana mlilia sana Mungu wao kuhusu amani, Wakatoliki pia wana kitu inaitwa NOVENA, waislamu hawawezi hizo funga za Wakristo, na hutasikia wakiomba excuse makazini kwao wala favor sijui ya bei za vyakula, wao na Mungu wao.
Kumbe usisali jpili...wala usisherehekee krismas...lakini hata pasaka yenyewe...na hata calendar walioweka ni wakatoliki hawa hawa
 
Ieleweke kwamba, Kwaresma sio miongoni mwa shughuli za Kikristo, hilo ni tamko la Roman Catholic kwa mujibu wa utaratibu wao, hakuna popote kwenye Biblia utakutana na hicho kitu, waislamu wao, mwezi wa Ramadan ipo kwenye vitabu vyao tofauti na kwaresma. Kwa Wakristo hakuna siku au mwezi maalumu ya kufunga, wanao fungal siku 40 wapo wengi, siku 30 au 21 kama zinavyo onekana kwa manabii kama Daniel nk. Unafunga kulingana na hitaji lako au la kanisa au taifa, I can assure you, Wakristo funga yao ni ngumu kuliko hi ya Waislam au hi ya Kwaresma, kipindi cha uchaguzi specifically Wakristo huaga wana mlilia sana Mungu wao kuhusu amani, Wakatoliki pia wana kitu inaitwa NOVENA, waislamu hawawezi hizo funga za Wakristo, na hutasikia wakiomba excuse makazini kwao wala favor sijui ya bei za vyakula, wao na Mungu wao.
Kwaresma pia ipo kwenye vitabu vya wakatoliki, kwani wamesema vitabu vyao ni biblia tuu?
 
Kasilimu acha blah blah....
Wakristo hatuna mfungo wa pamoja, kila mtu anafunga kwa wakati wake na kwa hitaji lake. Hiyo kwa resma ni ya wakatoliki. Hamna maandiko yaliyoweka mfungo wa pasaka ni lazima
 
Tukisema ukweli bils kua na upendeleo kipi katika masuala ya dini, wakristo wameziidi hao wavaa kobazi (waislamu)
Kwenye mazishi wako excellent kwenye ndoa hata masikini muislamu ano oa, kwenye ibaada wana swali mara tano kwa siku, kwenye kutoa zakat masikini hujaa nyumba zao za ibaada kwa sababu wanajua wanatoa pesa na chakula, likija suala la kufunga mwezi wao hata muislamu mlevi mvuta bagi atafunga au atajificha,

je sisi wakuristo hao watu tuna wazidi nini kwenye dini? Au tuseme dini yao ina uhalisia.
Hamna uhalisia ila hii dini imejaa vitisho nakulazimishana, kweny uislam mtoto akifikisha miaka kumi anatakiwa kufunga tena kwafimbo, naukila hadharan wakat wamfungo niviboko vyakwenda kwaio hawana namna jumlisha namafundisho yao ukifa unanza kuteswa pale kaburin
 
Wasalaam

Ndugu zetu waislamu wameanza mwezi mtukufu tangu tar 2...wanatimiza moja kati ya nguzo muhimu katika imani yao

Chanda chema huvishwa Pete...tangu wenzetu wameanza mwezi mtukufu,mwamko unauona ni mkubwa sana,watu wa kada mbalimbali,wakubwa kwa watoto,hata wale tunaowaweka kwenye makundi hatarishi kama wahuni,nao wakionekana kujitahidi...heko

Wakristo tunaanza Mfungo Jtano ya majivu ya wiki hii (hasa wakatoliki)
Ajabu muitikio wa kufunga huwa mdogo...huwa tunasingizia kufunga sio mpaka chakula kufunga ni matendo mema...sote tunajua kufunga ni namna tunayouadhibu mwili kwa kuukatalia vikali katika yale ambayo ungedai ni haki yake kama...vyakula,vinywaji,ashki,mazoea tunayoyapenda mfano burudani na michezo

Haya wakati mwingine yametusonga kiasi tumekosa tafakari kwa Mungu...mungo husaidia waliowahi kufunga mashahidi

Tusifunge pale tunapokuwa tumebananishwa na hali ngumu kama uchumi,maradhi na kadhia mbali mbali kubwa au ndogo

Tuweke uwe ni utaratibu wa kujiunganisha na Mungu...kumbuka pamoja na dini zetu...bado binadamu anatakiwa ku connect kwa namna ya pekee na Mungu wake

Hongera waislamu wakristo tuige na tubadilike

NB:Shetani akimghiribu mtu anampa na kisingizio kuhalalisha ughiribu wake...wako watakuja na hoja...ooh waislamu hawafungi wanabadili ratiba ya kula...owk basi ninyi mnajua kufunga...tuwaoneshe wenzetu

Ukweli funga yao ni nzuri na Mungu anaipokea
Hamna cha ajabu hata wachawi nao hufunga ili kuongeza nguvu za kufanya mambo yao......kikubwa ni dhamira yako tokea moyoni
 
Hamna uhalisia ila hii dini imejaa vitisho nakulazimishana, kweny uislam mtoto akifikisha miaka kumi anatakiwa kufunga tena kwafimbo, naukila hadharan wakat wamfungo niviboko vyakwenda kwaio hawana namna jumlisha namafundisho yao ukifa unanza kuteswa pale kaburin
Mkuu hapo kuna haramu ipi, watoto hawapigwi viboko shuleni kisa kukosa kufanya mazoezi ya darasani, pia nakutishwa na waalimu kwamba dunia itawachapa?
 
Tukisema ukweli bils kua na upendeleo kipi katika masuala ya dini, wakristo wameziidi hao wavaa kobazi (waislamu)
Kwenye mazishi wako excellent kwenye ndoa hata masikini muislamu ano oa, kwenye ibaada wana swali mara tano kwa siku, kwenye kutoa zakat masikini hujaa nyumba zao za ibaada kwa sababu wanajua wanatoa pesa na chakula, likija suala la kufunga mwezi wao hata muislamu mlevi mvuta bagi atafunga au atajificha,

je sisi wakuristo hao watu tuna wazidi nini kwenye dini? Au tuseme dini yao ina uhalisia.
Mafundisho ya dini ya kiislamu yanajumuisha itikadi kali na shurti, tofauti na mafundisho ya kikristo ni kama hiyari tu ya mtu kuyafuata.

Mfano hapo kwenye kufunga mkristo hata asipofanya hivyo hakuna mwenye habari nae lakini muislamu asipofunga atapigwa vita na waislamu wenzake.

Hata kwenye jamii zenye population kubwa ya wakristo muislamu anaweza kuishi kwa amani, lakini kwenye population kubwa ya waislamu lazima mkristo atabugudhiwa.

kwa kifupi waislamu hawana ustahimilivu wa kiimani, wanapenda kutumia shurti ili dini yao ifuatwe. Kwaiyo hata kama mtu hataki anaona afuate tu muongozo kulinda usalama wake
 
Wasalaam

Ndugu zetu waislamu wameanza mwezi mtukufu tangu tar 2...wanatimiza moja kati ya nguzo muhimu katika imani yao

Chanda chema huvishwa Pete...tangu wenzetu wameanza mwezi mtukufu,mwamko unauona ni mkubwa sana,watu wa kada mbalimbali,wakubwa kwa watoto,hata wale tunaowaweka kwenye makundi hatarishi kama wahuni,nao wakionekana kujitahidi...heko

Wakristo tunaanza Mfungo Jtano ya majivu ya wiki hii (hasa wakatoliki)
Ajabu muitikio wa kufunga huwa mdogo...huwa tunasingizia kufunga sio mpaka chakula kufunga ni matendo mema...sote tunajua kufunga ni namna tunayouadhibu mwili kwa kuukatalia vikali katika yale ambayo ungedai ni haki yake kama...vyakula,vinywaji,ashki,mazoea tunayoyapenda mfano burudani na michezo

Haya wakati mwingine yametusonga kiasi tumekosa tafakari kwa Mungu...mungo husaidia waliowahi kufunga mashahidi

Tusifunge pale tunapokuwa tumebananishwa na hali ngumu kama uchumi,maradhi na kadhia mbali mbali kubwa au ndogo

Tuweke uwe ni utaratibu wa kujiunganisha na Mungu...kumbuka pamoja na dini zetu...bado binadamu anatakiwa ku connect kwa namna ya pekee na Mungu wake

Hongera waislamu wakristo tuige na tubadilike

NB:Shetani akimghiribu mtu anampa na kisingizio kuhalalisha ughiribu wake...wako watakuja na hoja...ooh waislamu hawafungi wanabadili ratiba ya kula...owk basi ninyi mnajua kufunga...tuwaoneshe wenzetu

Ukweli funga yao ni nzuri na Mungu anaipokea
Mungu yupi anayepokea Funga yao ?
 
Hamna jambo jepesi duniani, wewe ulishawahi kuenda leba wakina mama wanavo jufungua ni shurt kichwa sehemu ndogo kichwa cha mtoto kikumbwa lazima apite tu
 
Wasalaam

Ndugu zetu waislamu wameanza mwezi mtukufu tangu tar 2...wanatimiza moja kati ya nguzo muhimu katika imani yao

Chanda chema huvishwa Pete...tangu wenzetu wameanza mwezi mtukufu,mwamko unauona ni mkubwa sana,watu wa kada mbalimbali,wakubwa kwa watoto,hata wale tunaowaweka kwenye makundi hatarishi kama wahuni,nao wakionekana kujitahidi...heko

Wakristo tunaanza Mfungo Jtano ya majivu ya wiki hii (hasa wakatoliki)
Ajabu muitikio wa kufunga huwa mdogo...huwa tunasingizia kufunga sio mpaka chakula kufunga ni matendo mema...sote tunajua kufunga ni namna tunayouadhibu mwili kwa kuukatalia vikali katika yale ambayo ungedai ni haki yake kama...vyakula,vinywaji,ashki,mazoea tunayoyapenda mfano burudani na michezo

Haya wakati mwingine yametusonga kiasi tumekosa tafakari kwa Mungu...mungo husaidia waliowahi kufunga mashahidi

Tusifunge pale tunapokuwa tumebananishwa na hali ngumu kama uchumi,maradhi na kadhia mbali mbali kubwa au ndogo

Tuweke uwe ni utaratibu wa kujiunganisha na Mungu...kumbuka pamoja na dini zetu...bado binadamu anatakiwa ku connect kwa namna ya pekee na Mungu wake

Hongera waislamu wakristo tuige na tubadilike

NB:Shetani akimghiribu mtu anampa na kisingizio kuhalalisha ughiribu wake...wako watakuja na hoja...ooh waislamu hawafungi wanabadili ratiba ya kula...owk basi ninyi mnajua kufunga...tuwaoneshe wenzetu

Ukweli funga yao ni nzuri na Mungu anaipokea
Taqbiriiiii....
 
Wakristo tunaanza Mfungo Jtano ya majivu ya wiki hii (hasa wakatoliki)
Ajabu muitikio wa kufunga huwa mdogo...huwa
Mkristo halisi huwa hafungi kwa kujionesha kwa watu... Kwa taarifa yako kuna wakristo hutenga siku 7 za kufunga kila mwezi ndani ya miezi 12...

Hayo mamifungo ya kwaresma na Ramadan hufanywa na wanafiki mara moja kwa mwaka...

Utakatifu hsuji kwa mifungo kama hiyo ya kinafiki.

Bila shaka na wewe u mmoja wa wanafiki
 
Wasalaam

Ndugu zetu waislamu wameanza mwezi mtukufu tangu tar 2...wanatimiza moja kati ya nguzo muhimu katika imani yao

Chanda chema huvishwa Pete...tangu wenzetu wameanza mwezi mtukufu,mwamko unauona ni mkubwa sana,watu wa kada mbalimbali,wakubwa kwa watoto,hata wale tunaowaweka kwenye makundi hatarishi kama wahuni,nao wakionekana kujitahidi...heko

Wakristo tunaanza Mfungo Jtano ya majivu ya wiki hii (hasa wakatoliki)
Ajabu muitikio wa kufunga huwa mdogo...huwa tunasingizia kufunga sio mpaka chakula kufunga ni matendo mema...sote tunajua kufunga ni namna tunayouadhibu mwili kwa kuukatalia vikali katika yale ambayo ungedai ni haki yake kama...vyakula,vinywaji,ashki,mazoea tunayoyapenda mfano burudani na michezo

Haya wakati mwingine yametusonga kiasi tumekosa tafakari kwa Mungu...mungo husaidia waliowahi kufunga mashahidi

Tusifunge pale tunapokuwa tumebananishwa na hali ngumu kama uchumi,maradhi na kadhia mbali mbali kubwa au ndogo

Tuweke uwe ni utaratibu wa kujiunganisha na Mungu...kumbuka pamoja na dini zetu...bado binadamu anatakiwa ku connect kwa namna ya pekee na Mungu wake

Hongera waislamu wakristo tuige na tubadilike

NB:Shetani akimghiribu mtu anampa na kisingizio kuhalalisha ughiribu wake...wako watakuja na hoja...ooh waislamu hawafungi wanabadili ratiba ya kula...owk basi ninyi mnajua kufunga...tuwaoneshe wenzetu

Ukweli funga yao ni nzuri na Mungu anaipokea
Ndio mwache KWENDA lodge na bar ...myige WENZENU... Sio unafunga usiku UKo na Gen z
 
Kwani wapi tuliambiwa tufunge kipindi cha kwaresma?
 
Back
Top Bottom