Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Naona leo Pacal Mayalla ni miongoni mwa Mawakili waliopokelewa na kukubaliwa kuwa Mawakili, tukio lililofanyika katika Ukumbi wa Karimjee huku Jaji Mkuu akiwa ndio Mgeni Rasmi.
Hongera sana Pascal, ila upunguze kuchomekea sifa zingine kama kuwa Mtangazaji wa kwanza kuwa wakili na badala yake acha watu wengine wakusifie(itapendeza zaidi).
Hongera sana Pascal, ila upunguze kuchomekea sifa zingine kama kuwa Mtangazaji wa kwanza kuwa wakili na badala yake acha watu wengine wakusifie(itapendeza zaidi).