kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Umesahau Julius mtatiro alikuwepo nae kapata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu uko sawa kweli?? Pole sana.Mawazo ya kimasikini, jealous, ukatili na ushenzi, typical mawazo ya watanzania walioko diaspora, Mr.Mayala anapewa uwakili ndio Habari hapa,tumpongeze na kumtia moyo, wewe shetani umeamua kuangalia in a negative side as if wewe ur growing young, halafu hamchelewi Kuja kulalamika humu kuhusu ajira wakati umejaa roho ya kutu.mtu kama wewe ndio maana mkijichanganya kidogo mnaelekezwa beach mkapate displine
Naona leo Pacal Mayala ni miongoni mwa Mawakili waliopokelewa na kukubaliwa kuwa Mawakili, tukio lililofanyika katika Ukumbi wa Karimjee huku Jaji Mkuu akiwa ndio Mgeni Rasmi.
Hongera sana Pascal, ila upunguze kuchomekea sifa zingine kama kuwa Mtangazaji wa kwanza kuwa wakili na badala yake acha watu wengine wakusifie(itapendeza zaidi).
Iam ok thanks, mazuri yote ya Mr.Mayala kupata uwakili wake,mtoa hoja picks only his age!,na ninasoma to understood, lengo la hoja hii imejaa unafiki mtupu, let's congrats Mr.Mayala kwa kupata uwakili, age yake it got nothing to do with usMkuu uko sawa kweli?? Pole sana.
Upumbavu, age ya Mr.Mayala haituhusu la msingi hapa Mr.Mayala amepata uwakili, it's a milestone achievement tumpongeze sio kumdhihaki, hoja ya mchangiaji ilikua ina mlengo wa kumdhalilisha Mr.Mayala, myself I can't just sit down and watch binadamu mwenzetu who work so hard to achieve that, halafu anatokea shetani mmoja anadhihaki, it's a bush itHata kama mlizoea kufunga viroba watu na kuwatupia beach,haukupaswa kupanic Kwa alichouliza mwenzio.Easy mjomba,kala chumvi au mdogo bass....ungejibu tu ivo
Ule uteuzi wa Bodi sio ajira ya kudumu,na wala hauna routine ya kuhudhuria kazini kila siku.Au alikuwa Afisa Kipenyo, na tayari amestaafu? Who knows? Maana tuliona juzi former CDF, baada ya kustaafu tu, hata kabla hajafika kwake uzaoni, ikabidi ageuze safari baada ya akateuliliwa 🙂 njiani!
Huyu Babu kwenye kampuni yake PPR kila kitu ni yeye. Yaani Mmiliki yeye, meneja yeye, Mtangazaji yeye yaani nadhani hata camera huwa anatamani ajishikie. Juzi alihangaika sana saba sabaNaona leo Pacal Mayala ni miongoni mwa Mawakili waliopokelewa na kukubaliwa kuwa Mawakili, tukio lililofanyika katika Ukumbi wa Karimjee huku Jaji Mkuu akiwa ndio Mgeni Rasmi.
Hongera sana Pascal, ila upunguze kuchomekea sifa zingine kama kuwa Mtangazaji wa kwanza kuwa wakili na badala yake acha watu wengine wakusifie(itapendeza zaidi).
Daaah...mimi ndo maana huwa sipendi kuwa na mademu humu na nikiwa naye watu hawez jua naficha hisia zangu.... mahusiano ya kimapenzi na watu wa JF yatakufanya ugombane na kila mtu. sometimes uwe unavumilia tu sister. jamaa mbona hajamsema kwa ubaya mtu wako?
Umepaniki bure tu. ila pia nawe usiache mahusiano yakawa yanakuendesha namna hii...maana umetokwa povu kisa Mayalla kasemwa tena wala si kwa ubaya. umepaniki bure tu. nyie wadada huwa hamwezi ku control hisia zenu. mimi nina demu humu na sometime wakurungwa wana ponda mawe ila nacheck tu kama sioni.... ndo sisi wanaume tulivyoumbwa. ila kwa nyie wadada.....sijui..............
Mkuu sijaona kwanini umemshukia namna hii.Mi nafikiri alimaanisha kaenda umri,kwani kuwa na umri mkubwa ni vibaya??Mawazo ya kimasikini, jealous, ukatili na ushenzi, typical mawazo ya watanzania walioko diaspora, Mr.Mayala anapewa uwakili ndio Habari hapa,tumpongeze na kumtia moyo, wewe shetani umeamua kuangalia in a negative side as if wewe ur growing young, halafu hamchelewi Kuja kulalamika humu kuhusu ajira wakati umejaa roho ya kutu.mtu kama wewe ndio maana mkijichanganya kidogo mnaelekezwa beach mkapate displ.
Umemtafsiri tofauti kwani sidhani kama alikuwa yuko negative kuhusiana na hii habari.Mawazo ya kimasikini, jealous, ukatili na ushenzi, typical mawazo ya watanzania walioko diaspora, Mr.Mayala anapewa uwakili ndio Habari hapa,tumpongeze na kumtia moyo, wewe shetani umeamua kuangalia in a negative side as if wewe ur growing young, halafu hamchelewi Kuja kulalamika humu kuhusu ajira wakati umejaa roho ya kutu.mtu kama wewe ndio maana mkijichanganya kidogo mnaelekezwa beach mkapate displine
Pascal Mayalla acha nami nikupongeze kwa hatua hiyo muhimu.Ndio tabia zenu za ki uvccm huwa hamfikirii mnawaka na kulipuka kama mwenzio🤣
Alidisco udsm akajipanga baada ya miaka kadhaa akarudo tena amegraduate mwaka juziAli graduate mwaka gani?
Acha uongo2007