Ivan conspicuous
Senior Member
- Jun 19, 2022
- 103
- 83
Ndiyo alimuelewa vibaya na bila shaka hakufanya synthetic analysis. Jamaa alimaanisha kumbe Mayalla Pascal ni miongoni mwa watu wenye hekima, maarifa na busara (learned advocate). Kongole Sana to Mayalla kwa nafasi hii muhimu ya kuitumikia jamii. Ilani kwa Pascal: usisahau nakala zako za " kwa maslahi ya taifa.Umemwelewa vibaya, bila shaka. Nadhani alimaanisha kwamba naye yumo miongoni mwa wenye taaluma za sherika/uwakili. ^Uhenga^ hauna maana ya ukale au uzee tu.
Pia humaanisha ubora ama ufarisi ama ubobezi kitaaluma.
Tuliza mzuka, tafadhali. Njoo mambo iko huku!