Hongera Pascal Mayalla kwa kuupata Uwakili

Mkuu uko sawa kweli?? Pole sana.
 

Huku mwisho mwisho nakazia
 
Hata kama mlizoea kufunga viroba watu na kuwatupia beach,haukupaswa kupanic Kwa alichouliza mwenzio.Easy mjomba,kala chumvi au mdogo bass....ungejibu tu ivo
Upumbavu, age ya Mr.Mayala haituhusu la msingi hapa Mr.Mayala amepata uwakili, it's a milestone achievement tumpongeze sio kumdhihaki, hoja ya mchangiaji ilikua ina mlengo wa kumdhalilisha Mr.Mayala, myself I can't just sit down and watch binadamu mwenzetu who work so hard to achieve that, halafu anatokea shetani mmoja anadhihaki, it's a bush it
 
Au alikuwa Afisa Kipenyo, na tayari amestaafu? Who knows? Maana tuliona juzi former CDF, baada ya kustaafu tu, hata kabla hajafika kwake uzaoni, ikabidi ageuze safari baada ya akateuliliwa 🙂 njiani!
Ule uteuzi wa Bodi sio ajira ya kudumu,na wala hauna routine ya kuhudhuria kazini kila siku.

Huwa inatumika wakati wa vikao vya bodi ya shirika husika tu!
 
Huyu Babu kwenye kampuni yake PPR kila kitu ni yeye. Yaani Mmiliki yeye, meneja yeye, Mtangazaji yeye yaani nadhani hata camera huwa anatamani ajishikie. Juzi alihangaika sana saba saba
 
Upumbavu katika kiwango cha juu,aliyekuambia kuwa mimi ni she ni nani?,je umefanya utafiti gani na ukagundua kuwa mimi ni mwanamke?,iam a straight man,well educated, I lived my life, but I work so smart, Mr.Mayala amepata uwakili guy's let's celebrate and congrats him,umri wake hautuhusu sisi, cha msingi one of our own he achieve lengo lake,je mimi na wewe tumejiwekea malengo gani mwaka huu?,dorororo only to question someone age, hii ni craze
 
Mkuu sijaona kwanini umemshukia namna hii.Mi nafikiri alimaanisha kaenda umri,kwani kuwa na umri mkubwa ni vibaya??
 
Sawa mkuu ila kweli kwa Mr.Mayala to achieve lengo lake ambalo wengi wetu ni ndoto,ndio uje na age issue?really mkuu?,age yake inahusika vipi hapa?,tumpongezee Mr.Mayala kufikia lengo lake, binafsi my bucket list mwaka huu ninataka ni drive alone from Cape of Goodhope to Cairo, nitumie chakula cha wenyeji zaidi na nilale kwenye nyumba zao,nitakuwa more careful kiusalama ndani ya SA na South Sudan 🇸🇸, InshaAllah nitafikia lengo hili
 
Umemtafsiri tofauti kwani sidhani kama alikuwa yuko negative kuhusiana na hii habari.
 
Elimu haina mwisho elimu ni maarifa yamfaayo mtu sioni shida ya Mayalla nampongeza kuwa wakili pia anaweza soma digrii nyingine au masters sioni tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…