Hongera Paul Makonda kwa kupata mtoto wa kiume

Mkuu natumia akili zaidi kuliko kusikia....nyie mnaopenda kusikia badilikeni
Wewe ndio Bashite mwenyewe au? kama wewe siyo bashite ebu twambie ulikuwapo hapo hospital wakati anajifungua mama bashite
 

Click video for sound
Video
paulmakondaMungu wewe ni waajabu tena unatenda Kwa wakati wako. Asante Kwa ZAWADI YA MTOTO WA KIUME @ KEAGAN P MAKONDA
  • mtolelagHongera sana Mheshimiwa..Mungu anatenda kwa wakati wake,,akukuzie,,
  • sangumarieAwwwwwww Hongera saaaaanaaaaa Mheshimiwa God has his timing!He's neither slow nor fast! Glory to
 
hiyo ni post ya makonda Instragram dk 23 zilizopita
 
6,492 views
29 MINUTES AGO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…