Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji845] [emoji845] [emoji845] [emoji845] [emoji845] [emoji845]Ana msabwanda kama wa dingi yake?
na uzuri linahusu wote waogeleaji na wasio waogeleaji😛😛😛😛 interestingNimeshauri kwa nia njema, suala la DNA sio la mtu mmoja, ni la kawaida sana
ukoo upi sasa!!?Hongera zake, amepata wa kuendeleza UKOO
Kwani takwimu zinachagua?Walisemaga eti jamaa hajui kuogelea ila nashauri naye akapime DNA maana takwimu za siku hizi sio nzuri saaaana
Wewe ndio Bashite mwenyewe au? kama wewe siyo bashite ebu twambie ulikuwapo hapo hospital wakati anajifungua mama bashiteMkuu natumia akili zaidi kuliko kusikia....nyie mnaopenda kusikia badilikeni
Mungu anakuonaAna msabwanda kama wa dingi yake?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bibi sh'kamooAna msabwanda kama wa dingi yake?
Safi sana. Napenda sana wanawake wanaowatetea waume zao namna hii. Hongera kwa kujifungua shemela...mtabaki kusikiaga tu
mbona hata nyie mnaojua kuogelea takwimu za DNA zinawahusu
ukoo upi sasa!!?
AstaghafurulilahAna msabwanda kama wa dingi yake?
mwombeki yeye anasema kwa sababu anajua kuogelea kwa hiyo takwimu hazimuhusu😀Kwani takwimu zinachagua?
okay, hongera yakeUkoo wa Baba yake....wanasema mtoto wa kiume anabeba jina....
kitanda hakizai haramuInawezekana akawa mtoto wa Houseboy