Hongera Paul Makonda kwa kupata mtoto wa kiume

Hongera Paul Makonda kwa kupata mtoto wa kiume

Tukio kama hili ni tukio la furaha. Tusimamishe vita zetu, tumkaribishe mtanzania mpya na tuwape hongera wazazi wake. Keshokutwa tunaweza kurudi vitani. Hongera Paul na Mama.
 
Ndio maana alikua hasikiki muda
Kumbe alienda tena China kumpandikiza uchungu huyo patna wake
 
36682540_174192589964303_3231663840257114112_n.jpg

Click video for sound
Video
paulmakondaMungu wewe ni waajabu tena unatenda Kwa wakati wako. Asante Kwa ZAWADI YA MTOTO WA KIUME @ KEAGAN P MAKONDA
  • mtolelagHongera sana Mheshimiwa..Mungu anatenda kwa wakati wake,,akukuzie,,
  • sangumarieAwwwwwww Hongera saaaaanaaaaa Mheshimiwa God has his timing!He's neither slow nor fast! Glory to
Mbegu za watu anazipa jina lake
Watu wake wa karibu mshaurini
 
Back
Top Bottom