Shikamoo filter na makeupHapo inaonekana ni ndoa ya kiislamu ila kajala katoa pongezi na kumuita dada pau,ina maana hajabadili dini na jina ama ndo yale yale ya dogo janja na huyuView attachment 2536054
Kapata mama mkwe kah baSiku ya jumanne tarehe 28 Paula mtoto wa Pfunky na Kajala ameachana na ukapera rasmi baada ya kufunga Ndoa na raia wa Nigeria ambae anaishi Dubai anayeitwa Ally.
Mungu amtangulie maana shule ilimshinda mapema kabisaa mwanetu nadhani kwenye Ndoa atatulia Sasa na Bora ameachana na drama za wasanii za wabongo.
Namuombea akawe mke mwema na mama Bora wa familia yake Huko aendako,akawe mjenzi wa nyumba sio mmbomozi wa familia.
Akitaka Ndoa yake idumu aige mfano wa wasanii wa zamani kama Caty na Nina wameolewa wametulia hatuskiaa drama Wala kuachwa au yule belina mgeni.
Ndoa haihitaji umaarufu mume mi kiongozi wake akamsikilize na wakasilizane
Nimefurahi mnoo miye ni jambo la kheri sana
Wema nae katolewa barua na bwana whozuu(huu ni umbea ndani ya umbea)
NB:Nyie wakataa Ndoa endeleeni kunyonya Kwa mama zenu wenzenu wanaoaaa dailyyy
Ulikua jela nn? 😂😂 Mchele kilo 3500Wema kampora tunda whozuu?
🤣🤣🤣 tatizo muda wa kufuatilia ya watu yangu yenyewe yana nipeleka putaUlikua jela nn? 😂😂 Mchele kilo 3500
Hakuna ndoa hapo,Siku ya jumanne tarehe 28 Paula mtoto wa Pfunky na Kajala ameachana na ukapera rasmi baada ya kufunga Ndoa na raia wa Nigeria ambae anaishi Dubai anayeitwa Ally.
Mungu amtangulie maana shule ilimshinda mapema kabisaa mwanetu nadhani kwenye Ndoa atatulia Sasa na Bora ameachana na drama za wasanii za wabongo.
Namuombea akawe mke mwema na mama Bora wa familia yake Huko aendako,akawe mjenzi wa nyumba sio mmbomozi wa familia.
Akitaka Ndoa yake idumu aige mfano wa wasanii wa zamani kama Caty na Nina wameolewa wametulia hatuskiaa drama Wala kuachwa au yule belina mgeni.
Ndoa haihitaji umaarufu mume mi kiongozi wake akamsikilize na wakasilizane
Nimefurahi mnoo miye ni jambo la kheri sana
Wema nae katolewa barua na bwana whozuu(huu ni umbea ndani ya umbea)
NB:Nyie wakataa Ndoa endeleeni kunyonya Kwa mama zenu wenzenu wanaoaaa dailyyy
Ndiyo maana watu walikataa simu zetu za TecnoShikamoo filter na makeup
😂😂😂Ndiyo maana watu walikataa simu zetu za Tecno
Mpe neno la kheri mkuuKiki tu
Maji hufuata mkondo na mtoto wa nyoka ni nyoka, hakuna mke hapo.Siku ya jumanne tarehe 28 Paula mtoto wa Pfunky na Kajala ameachana na ukapera rasmi baada ya kufunga Ndoa na raia wa Nigeria ambae anaishi Dubai anayeitwa Ally.
Mungu amtangulie maana shule ilimshinda mapema kabisaa mwanetu nadhani kwenye Ndoa atatulia Sasa na Bora ameachana na drama za wasanii za wabongo.
Namuombea akawe mke mwema na mama Bora wa familia yake Huko aendako,akawe mjenzi wa nyumba sio mmbomozi wa familia.
Akitaka Ndoa yake idumu aige mfano wa wasanii wa zamani kama Caty na Nina wameolewa wametulia hatuskiaa drama Wala kuachwa au yule belina mgeni.
Ndoa haihitaji umaarufu mume mi kiongozi wake akamsikilize na wakasilizane
Nimefurahi mnoo miye ni jambo la kheri sana
Wema nae katolewa barua na bwana whozuu(huu ni umbea ndani ya umbea)
NB:Nyie wakataa Ndoa endeleeni kunyonya Kwa mama zenu wenzenu wanaoaaa dailyyy
Hamna kitu haooohako katoto pamoja na mama ake ni matapeli sana, hv kule ubeligiji walisema kalienda kusomea vi nin?