Hongera Paula Majani ukawe na Ndoa ya kheri

We unawajua wasanii wa bongo uzuri
 
Mkuu

Kwa heshima na taadhima tafadhali tupia video na picha ili uzi upate Nyota 5/5 maana unastahili.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila kajala na Paula watakufa wako hoi khaaaaah.
Hoi balaaa yaani mama na mwana ni pipa na mfuniko daahh[emoji3][emoji3]Wana heka heka na mji mnooo!!!
 
Lol lakin si umeona ni kiki ya movie? Paula wa kuolewa mapema hii?
Nimeona shoga angu ngoja tuendelee kuchangamsha genge,
Hahahaha kuolewa sio vuzi mpk mwehu analo!!!kwanza km mama na mwana wanaunganishiana mabwana Kuna Nini hapo
Enzi Yuko tussiime Kuna kijana tajiri alikuja anammega na anatoka kama kawa hapo pale ni hostel alikua anahonga walinzi
Yule dogo amerithi tabia za wazazi wake kupenda chini
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nacheka kama mazuri
Ila mwenzio nna shida nisililize basii
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nacheka kama mazuri
Ila mwenzio nna shida nisililize basii
Enhe nambie shoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…