Hongera Pinda na samahani! ulikuwa sahihi!

Hongera Pinda na samahani! ulikuwa sahihi!

Maadam wameanza Madagascar basi kisiwa kingine kiko njiani!!
 
I'm for the rule of law. Kama waliwahoji na wakakiri, binti alikuwa hajauwawa, sasa wamewauwa wa nini.
Hizi mob justice zisikieni tuu. They are not only barbaric but ghastly and morbid!.
Ndio nakubali mauaji ya albino yanauma lakini kumkamata mtuhumiwa kumhoji na kumuua kwa silaha za asili ni unyama. Hatukomeshi unyama kwa kufanya unyama zaidi.
 
Inaweza isikomeshe lakini itapunguza; kwani hao wauaji wa maalbino inabidi kufikiria mara mbili mbili kabla ya kutekeleza unyama wao- wanajua kosa moja na wao wamekufa.
Huu mwendo mdundo powa sana. Na waendelee kuuawa na wananchi wenye hasira kali.
 
Ukisoma utaona kuwa jamaa waliwakamata hao jamaa wakawahoji, waliporidhika wakawauwa.

Mwana Kijiji,

Hapa unakosea kitu kimoja. Unaandika kama aliyemkamata ni mtu mmoja na baada ya kumuhoji na kubadili mawazo akaamua kumuuwa. Ni kama ile video ya Chui wamemkamata mtoto wa Swala? Mama akaamua kutoa shule kwa wanae jinsi ya kuuwa. Wakamchezea na baada ya kuridhika, wakamla.

Mie kwa akili zangu za kishambashamba (Wa Sikonge) zinasema kuwa

a. Walimkamata watu wenye moyo wa Mwana Kijiji (wakamuhoji).

b. Wakaja wenye akili za Pinda na walipojua kulikoni (inawezekana wenye ndugu na katoto hako) basi walimtoa kutoka katika mikono ya Wana KJJ na kumpeleka Iselamagazi (Golgota).

Tanzania twahitaji Pinda style katika HIGH LEVEL. Tutaanzia kwa kuvamia Igunga (mie niko Sikonge, mtanikuta nimeshafika). Ila sema jamaa ana kandege kake. Labda kumuomba Mwamunyange afunge anga na kila kitakachoruka basi kidondoshwe. Mlioko Dar, mmerahisishiwa kazi. Segera wapo wamejaa tele kama Che Nkapa.
 
Back
Top Bottom