Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaweza isikomeshe lakini itapunguza; kwani hao wauaji wa maalbino inabidi kufikiria mara mbili mbili kabla ya kutekeleza unyama wao- wanajua kosa moja na wao wamekufa.I'm for the rule of law. Kama waliwahoji na wakakiri, binti alikuwa hajauwawa, sasa wamewauwa wa nini.
Hizi mob justice zisikieni tuu. They are not only barbaric but ghastly and morbid!.
Ndio nakubali mauaji ya albino yanauma lakini kumkamata mtuhumiwa kumhoji na kumuua kwa silaha za asili ni unyama. Hatukomeshi unyama kwa kufanya unyama zaidi.
Ukisoma utaona kuwa jamaa waliwakamata hao jamaa wakawahoji, waliporidhika wakawauwa.