Hongera Polepole, CCM itamisi nafasi yako - Bungeni nako ng'aa

Hongera Polepole, CCM itamisi nafasi yako - Bungeni nako ng'aa

Amepunguziwa influence ... hata akiwa waziri hatakuwa na influence kama alokuwa mayo
 
Anastahili pongezi amefanya kazi kwa weledi sana CCM ipo imara zaidi.
 
Hongera kwa Prof. Polepole kwa kuteuliwa nafasi ya ubunge katika viti vya "KINA MAMA". Kweli CCM haina mfumo dume.
Mjomba mbona huna uelewa wa Katiba yetu? Wabunge wa kuteuliwa na Rais ni wasiozidi watano wanaume na wasozidi watano wanawake; hivyo jumla isizidi 10. Hivyo Polepole yuko kundi la wanaume. Rais amebakiza nafasi zisizozidi nne kwa wanaume na zisizozidi nne kwa wanawake. Halafu pia Polepole anaweza akaendelea na wadhifa wake katika CCM. Mambo ya ngoso mwachie ngoso mwenyewe.
 
Mkuu mleta mada umesahau kuweka namba ya mawasiliano hapo chini ili upate uteuzi.
 
Kazi aliyofanya polepole ni kushirikiana na NECCCM Tumeccm wakurugenziccm na Polisiccm kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu na sasa ununuzi wa covid 19 kwa njia haramu za kishetani ndiyo maana kazawadiwa Rushwa ya ubunge
Swala hapo ni, je ataweza kuisimamia serikali ya chama chake? au hii ni kumfunga mdomo au takrima?
 
Mleta mada, mawasiliano yako, simu umesahau kuwaandikia mamlaka.

Kuna katibu tarafa anastaafu huko waweza teuliwa kuziba nafasi.

Everyday is Saturday... 😎
 
Mkuu angalia unamtukana Pole Pole bila sababu.
Hongera wanapewa Alina mama.
Wanaume unawaambia kongole.
 
Baada ya kutimiza kazi ngumu yenye lawama na dhambi kubwa hatimaye...!!
 
Mkuu mleta mada umesahau kuweka namba ya mawasiliano hapo chini ili upate uteuzi.
Polepole kateua wangapi mkuu?
Waumini wa masuala ya kisiasa nchini wanafahamu kwa huyo Polepole kaleta kicheko CCM na kupeleka kilio upinzani

Ameandika historia isiyofutika
 
Back
Top Bottom