Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Upo sahihi kabisa mkuuHuyu anapelekwa ndani ya Baraza la mawaziri kama mbea wa bosi kumletea Habari zote ztakazohusu mawaziri waliokinyume na bosi. Huyu ndy anaenda kuwa mastermind wa fitina ili Dhumuni la kubadili katiba litimie!! Subilini wakati utimie!!
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Huyo babu hajulikani jinsia yakeHongera kwa Prof. Polepole kwa kuteuliwa nafasi ya ubunge katika viti vya "KINA MAMA". Kweli CCM haina mfumo dume.
Mjomba mbona huna uelewa wa Katiba yetu? Wabunge wa kuteuliwa na Rais ni wasiozidi watano wanaume na wasozidi watano wanawake; hivyo jumla isizidi 10. Hivyo Polepole yuko kundi la wanaume. Rais amebakiza nafasi zisizozidi nne kwa wanaume na zisizozidi nne kwa wanawake. Halafu pia Polepole anaweza akaendelea na wadhifa wake katika CCM. Mambo ya ngoso mwachie ngoso mwenyewe.Hongera kwa Prof. Polepole kwa kuteuliwa nafasi ya ubunge katika viti vya "KINA MAMA". Kweli CCM haina mfumo dume.
Kwa ujumbe huu hata wewe hujaweka - jaribu tenaMbona hujaweka namba ya simu?
Bora akawe mbunge tumuone akivaa nguo zingine sokila mda mashati ya CCM tu
Swala hapo ni, je ataweza kuisimamia serikali ya chama chake? au hii ni kumfunga mdomo au takrima?Kazi aliyofanya polepole ni kushirikiana na NECCCM Tumeccm wakurugenziccm na Polisiccm kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu na sasa ununuzi wa covid 19 kwa njia haramu za kishetani ndiyo maana kazawadiwa Rushwa ya ubunge
Polepole kateua wangapi mkuu?Mkuu mleta mada umesahau kuweka namba ya mawasiliano hapo chini ili upate uteuzi.