Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Tulikuwa tunatafuta Kwanini Prof Sedoyeka amepelekwa tume ya maadili? Tulijiuliza kwanini tume imeweka habari yake kwenye vyombo vya habari? Tulijiuliza kwanini vyombo vya habari vinatoa promo kwenye kesi hizi?
Kupata majibu imetuliazimu kufuatilia kazi alizofanya katika maeneo ambayo amewahi kuongoza na kubaini yafuatayo
1. Prof anapendwa na wale wanaokitakia mema Taifa.
2. Amefanya mabadiliko makubwa chuo cha UHASIBU Arusha IAA.
3. Amefungua matawi mengi ya chuo, ameruhusu elimu masafa na sasa chuo kina wanafunzi wengi wa online nchi nzima.
4. Amekataa kukubaliana na tendering zakupeana na kutaka anayetaka tender awe na sifa ikiwemo mtaji na bei ziwe reasonable.
5. Watesi wake wamejaribu kutumia TAKUKURU na mfumo wa uchunguzi wamekwama na hivyo wameamua kuwa maadili.
Soma Pia: Prof. Eliamini Sedoyeka asomewa tuhuma nne kwenye Baraza la Maadili, azikana zote
Prof nichukue fursa hii kukupongeza na kukutaka usivunjike moyo
Majibu ya Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Prof. Eliamini Sedoyeka mbele ya Baraza la Maadili