Hongera Prof Sedoyeka, mafisadi wanapambana nawewe kwa kuziba mianya ya wizi na tenda zisizo na tija kwa Taifa. Vumilia

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Tulikuwa tunatafuta Kwanini Prof Sedoyeka amepelekwa tume ya maadili? Tulijiuliza kwanini tume imeweka habari yake kwenye vyombo vya habari? Tulijiuliza kwanini vyombo vya habari vinatoa promo kwenye kesi hizi?

Kupata majibu imetuliazimu kufuatilia kazi alizofanya katika maeneo ambayo amewahi kuongoza na kubaini yafuatayo

1. Prof anapendwa na wale wanaokitakia mema Taifa.

2. Amefanya mabadiliko makubwa chuo cha UHASIBU Arusha IAA.

3. Amefungua matawi mengi ya chuo, ameruhusu elimu masafa na sasa chuo kina wanafunzi wengi wa online nchi nzima.

4. Amekataa kukubaliana na tendering zakupeana na kutaka anayetaka tender awe na sifa ikiwemo mtaji na bei ziwe reasonable.

5. Watesi wake wamejaribu kutumia TAKUKURU na mfumo wa uchunguzi wamekwama na hivyo wameamua kuwa maadili.

Soma Pia: Prof. Eliamini Sedoyeka asomewa tuhuma nne kwenye Baraza la Maadili, azikana zote

Prof nichukue fursa hii kukupongeza na kukutaka usivunjike moyo

Majibu ya Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Prof. Eliamini Sedoyeka mbele ya Baraza la Maadili
 
Tulikuwa tunatafuta Kwanini Prof Sedoyeka amepelekwa tume ya maadili? Tulijiuliza kwanini tume imeweka habari yake kwenye vyombo vya habari? Tulijiuliza kwanini vyombo vya habari vinatoa promo kwenye kesi hizi?

Kupata majibu imetuliazimu kufuatilia kazi alizofanya katika maeneo ambayo amewahi kuongoza na kubaini yafuatayo
1. Prof anapendwa na wale wanaokitakia mema Taifa.

2. Amefanya mabadiliko makubwa chuo cha UHASIBU Arusha IAA.

3. Amefungua matawi mengi ya chuo, ameruhusu elimu masafa na sasa chuo kina wanafunzi wengi wa online nchi nzima.

4. Amekataa kukubaliana na tendering zakupeana na kutaka anayetaka tender awe na sifa ikiwemo mtaji na bei ziwe reasonable.

5. Watesi wake wamejaribu kutumia TAKUKURU na mfumo wa uchunguzi wamekwama na hivyo wameamua kuwa maadili
Prof nichukue fursa hii kukupongeza na kukutaka usivunjike moyo
Kumbe kamati ya maadili nayo ni walewale
 
Amemteua ndugu yake asiye na sifa kuwa mkuu wa kitengo.
 
Wewe ndo yule ndugu yake alokubeba unatafuta huruma ya wana jf, ataliwq kichwa siku sii nyingi jiandae kujibeba mwenyewe
 
Tulikuwa tunatafuta Kwanini Prof Sedoyeka amepelekwa tume ya maadili? Tulijiuliza kwanini tume imeweka habari yake kwenye vyombo vya habari? Tulijiuliza kwanini vyombo vya habari vinatoa promo kwenye kesi hizi?

Kupata majibu imetuliazimu kufuatilia kazi alizofanya katika maeneo ambayo amewahi kuongoza na kubaini yafuatayo
1. Prof anapendwa na wale wanaokitakia mema Taifa.

2. Amefanya mabadiliko makubwa chuo cha UHASIBU Arusha IAA.

3. Amefungua matawi mengi ya chuo, ameruhusu elimu masafa na sasa chuo kina wanafunzi wengi wa online nchi nzima.

4. Amekataa kukubaliana na tendering zakupeana na kutaka anayetaka tender awe na sifa ikiwemo mtaji na bei ziwe reasonable.

5. Watesi wake wamejaribu kutumia TAKUKURU na mfumo wa uchunguzi wamekwama na hivyo wameamua kuwa maadili
Prof nichukue fursa hii kukupongeza na kukutaka usivunjike moyo
Ngoja ateuliwe kiongozi wa hamas ntarudi tena...humu...ile tume
 
Hukumu inamsubiri......kuwa na subira lolote laweza kumkuta akawa kijieni au "akaula" zaidi
 
Amemteua ndugu yake asiye na sifa kuwa mkuu wa kitengo.
TZ ukiona mtu anapelekwa kwy kamati maadili ujue huyo mtata kwa watu wenye maslahi wameshindwa kukudhibiti na huna makandokando wanayoweza kutumia kama leverage, Wanakuja na bogus claims wanakupeleka kwy hizi kamati ili wakufrustrate. Kama wanakumudu/unafanya wanayotaka hata ufanye nini hupelekwi sana sana utaondolewa kimya kimya tu. Ukiangalia karibia wote wanaofahamika ktk nyanja mbalimbali waliopelekwa kwy kamati hizi za maadili ni watu walionyooka/wenye misimamo flani isiyowapendeza/inayotishia maslahi ya watu fulani
 
Saw
Tulikuwa tunatafuta Kwanini Prof Sedoyeka amepelekwa tume ya maadili? Tulijiuliza kwanini tume imeweka habari yake kwenye vyombo vya habari? Tulijiuliza kwanini vyombo vya habari vinatoa promo kwenye kesi hizi?

Kupata majibu imetuliazimu kufuatilia kazi alizofanya katika maeneo ambayo amewahi kuongoza na kubaini yafuatayo

1. Prof anapendwa na wale wanaokitakia mema Taifa.

2. Amefanya mabadiliko makubwa chuo cha UHASIBU Arusha IAA.

3. Amefungua matawi mengi ya chuo, ameruhusu elimu masafa na sasa chuo kina wanafunzi wengi wa online nchi nzima.

4. Amekataa kukubaliana na tendering zakupeana na kutaka anayetaka tender awe na sifa ikiwemo mtaji na bei ziwe reasonable.

5. Watesi wake wamejaribu kutumia TAKUKURU na mfumo wa uchunguzi wamekwama na hivyo wameamua kuwa maadili.

Soma Pia: Prof. Eliamini Sedoyeka asomewa tuhuma nne kwenye Baraza la Maadili, azikana zote

Prof nichukue fursa hii kukupongeza na kukutaka usivunjike moyo
SAWA prof ..naona umeamua uje ujibu mashambulizi mwenyewe kabisa...hongera
 
Sababu IAA ni quality,professionaly organized kuliko open. Hata mitaala yao ni ya kisasa kabisa
Wakiweka online na undergraduate open watakuwa wameizika mazima kabisa. Open imekuwa kama malaya wa mtaani hana mwenyewe lakini IAA wanajitahidi sn kuanzia customer care n.k, acha tuwape mau yao mapungufu mengine ni ya kibinadamu tu.
 
Back
Top Bottom