Hongera Rais kwa kuimarisha demokrasia nchini. Hakuna TV yoyote ingeruhusiwa kurusha mkutunano wa CHADEMA

TV gani inarusha, nauliza nipate angalia.
 
Huyo mama ana watoto milioni na ushee maana humu anatajwa na watu wengi mama kafanya hiki mama kafanya kile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…