Eddo Sambai
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 2,377
- 1,861
Kwani ni kituo gani cha TV kinaonyeshq live
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🚮🚮🚮nonsenseAisee
TV gani inarusha, nauliza nipate angalia.Kwa kweli Rais anastahili pongezi kuliokoa taifa hili. Kipindi kile upinzani ulikuwa kama uko ukimbizini. Jamaa alikuwa katili zodi ya Adolf Hitler.
Nakumbuka mpaka akina Boni Yai walivuliwa Umeya kibabe kisa wapo upinzani ili wasalende. Hata Mwita naye akavuliwa kibabe Umeya kisa yupo CHADEMA.
Kipindi kile ikitikea kuna tv au radio au blog yoyote ikirusha mikutano ya upinzani ama wamiliki wanatekwa au inafungiwa moja kwa moja.
Nakumbuka kulikuwa na mkutano wa CHADEMA kama wa leo pale Mlimani city, bwana mdogo Pplepole aliwapiga mkwara mzito Azam tv kurusha mkutano ule baada ya hapo wakapotea hewani.
Kwa kweli mama umeiokoa nchi hii. Hongera sana