Hongera Rais kwa kukemea mauaji ya kada wa CHADEMA, Polisi ni vema itupe majibu kana kwamba kada huyo alikuwa ni wa CCM

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
16,950
Reaction score
13,527
Friends and Enemies,

Nimeifurahia kauli ya Mh RAIS ya KUTOA pole Kwa Msiba wa Ndug Ally KADA wa CHADEMA kilichotokea hivi karibuni. Inna Lillah waina illay Rajiun.

Rais Samia amefanya jambo jema Kwa kutoa kauli hiyo Kwa wakati na kujiweka mbali na kando na vitendo hivyo vya udhalim na ukatili,hakika Rais Hana Haiba ya ukatili huo.

Sasa basi,Kwa kuwa jambo la kifo halina upande,ni jambo ambalo sote tunapaswa kuliaani haijalishi alieuwawa ni CHADEMA, CCM au chama chochote,wa dini yoyote hata asie na dini,mwenye utimamu wa akili na punguani,kifo Cha dhulma Kwa namna yoyote ile hakina uhalali.

Tunaomba basi na kuwataka Jeshi la polisi watupe MAJIBU ya sakata Hilo kama kwamba huyo marehemu alikuwa ni KADA na mjumbe wa sekretariati ya CCM kama vile ambavyo alikuwa ni mjumbe wa sekretariati ya CHADEMA.

Na Kwa kuwa amri hiyo imetoka Kwa Rais,basi ingekuwa vema sana MAJIBU hayo sisi wananchi tukayapata kwa haraka na uwazi,ili hawa ambao wanafanya ufisadi na kumwaga damu katika Ardhi hii wafahamike na wachukuliwe hatua Kwa haraka kwani Kwa namna Moja ama nyingine wanaweka doa sana katika juhudi kubwa anazozifanya Rais za kudumisha Haki,AMANI na Demokrasia ya kweli ndani ya Taifa letu.

Soma Pia:

 
Kura za yule bibi zinazidi kuharibika Kila kukikucha
 
Kura za yule bibi zinazidi kuharibika Kila kukikucha
Until the philosophy of which one party or life is superior and another is inferior,is finally and permanently discredited and abandoned, unless otherwise we won't find peace.
 
Nyie machawa na UVCCM ndio adui namba moja wa Samia. Mnamuingiza mjini mama wa watu wahuni nyie.
 
Nyie machawa na UVCCM ndio adui namba moja wa Samia. Mnamuingiza mjini mama wa watu wahuni nyie.
Sote Tunajua mama hawezi kuhusika Kwa namna yoyote,haiba yake ni wazi inajulikana,hao wahuni tunataka tuwafahamu.
 
Hao wahuni ndio nyie wenyewe machawa, ndio mlimdanganya kuwa utekaji ni drama watu wanajiteka mlaaniwe.
 
Una maanisha Nini Mkuu.
Pia polisi watoe taarifa ya ni kina nani walivamia basi mbele ya traffic polisi.
Traffic polisi huyo ni muhimu katika upelelezi na je alitoa taarifa ya kuvamiwa kwa basi hilo au alikuwa sehemu ya wavamizi.
 
Pia polisi watoe taarifa ya ni kina nani walivamia basi mbele ya traffic polisi.
Traffic polisi huyo ni muhimu katika upelelezi na je alitoa taarifa ya kuvamiwa kwa basi hilo au alikuwa sehemu ya wavamizi.
Yes,ni sahihi Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…