Mimi binafsi nimekuwa nikikerwa na utendaji kazi wa Nape,Makamba,Makonda na Slaa kwa kushindwa kuzielewa 4R za Rais kwa vitendo. Rais anataka utendaji kama ifuatavyo:
1. utendaji wenye kuzingatia sheria,kanuni,taratibu na miongozo.Mara nyingi hawa vijana wameonekana kukiuka hizi taratibu wakati wa uendeshaji wa majukumu yao na hivyo kuleta usumbufu kwa Rais
2. Uongozi uliojaa makeke,mbwembwe,fitna,dharau na kufanya kazi kwa mazoea na kwa kujisahau kuwa wana mamlaka ya Rais juu yao, hali ambayo hupelekea kumdhalilisha na kumfitisha na 4R zake
3. Kuleta utoto na uongozi usio na utulivu baina yao, ukomavu wa mambo kwao ni bidhaa adimu
na
4.Kuamini kuwa wao ndiyo CCM na Nchi na kwamba ni watoto wa mama anawaogopa na pengine hawezi kuwachukulia hatua zozote
5. Baadhi yao Rushwa na ujanja ujanja kwenye uendeshaji wa mambo ya kiuwajibikaji,kwa kutanguliza hadaa kutoa kauli potofu zisizo na kipimo au mipaka
6.Tamaa ya madaraka makubwa na kujiona nyinyi pekee ndiyo mnafaa kuwa marais wa nchi hii. na kuwa mna sifa na uwezo kuliko hata Rais aliyepo.
Rais simamia hapo hapo watendaji wakuelewe kivitendo vinginevyo wakati tukielekea kwenye uchaguzi watendaji,vyombo vya ulinzi na usalama nk vitapaswa visaidie uchaguzi kufanyika kwa haki,utulivu na uhuru ili kupata viongozi bora, ninaamini upande wako kwa haya unayopambana nayo kupitia 4R kura yangu utapata, shida ma changamoto ni Wabunge,Madiwani na wenyeviti wa mitaa tunaomba uviagize vyombo vitende haki ili tupate viongozi bora. Tumejifunza kitu kwa uchafuzi wa uchaguzi wa mwaka 2019/2020,tumeumia sana wananchi hatujasahau. ndiyo maana kauli ya Nape ilizomewa mno. Tutoke huko sasa. Tunatakaka siada ya kistaarabu iwe CCM iwe Upinzani. Mhesh Pinda waziri Mkuu Mstaafu amenena kwa uhakika kukwepa matumizi ya fedha kwenye uchaguzi ujao ili tuonje raha ya kupata viongozi safi. Mama rudisha nchi kwenye mstari.Mungu akubariki sana
Mzalendo wa kweli