Hongera Rais Magufuli kuipendezesha Ikulu yetu kuliko enzi za Nyerere, Ikulu iwe kivutio cha utalii, restrictions ziondolewe watalii wafurike

Hivi lile azimio la wizara zote kuhamia Dodoma na majengo yao kupewa wawekezaji ili wajenge/waweke Hotel iliishia wapi?
Bongo bahati mbaya ndugu.Ukimuuliza saizi anakwambia serikali iko Dodoma.Lakin magogoni hahami.Huo mpango haupo.Japo kweli baadhi ya ofisi zilihama lkin kwa asiliamia 30 tu.saiZ wizara zinafanya kazi Dar na Dom


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni jambo zuri maana,ila shida ni kuwa mzuka ukipanda hakawii kugawa bure rasilimali zetu
 



🤣🤣🤣🤣🤣leo nimeamini Paskali kuna kitu unatumia sio bure...
Sijui ni mm tu nasomaga nyuzi zako huku macho yana machozi?? Yaani very funny jamani! Dah 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu leo umeamka vizuri. Naona humu kuna dawa na sumu au ile "kula ufe (trojan horse). Napendekeza waweke pia simba, chui na chatu ili watalii wafurike. Sio wazo baya hata kule Sauz ikulu ni moja ya tourist attractions.


🤣🤣🤣🤣🤣 Jamani hadi naulizwa mama unacheka nini nashindwa sema..dah hebu kuweni serious jamanu...mnaniua mm huku
 



🤣🤣🤣🤣Hakyanani@Pascal Mayala umetuweza aisee
 
PASKALI
Naomba niwaeleze kitu wana JF...
Wanyamapori wanapaswa kuwa huru huko huko porini... Wanapochanganyika na watu wanasababisha zoonatic pandemic nyingi sana mfano Ebola, HIV/AIDS, mafua ya ndege na sasa Covid-19!
Wasiojali na wasiojua haya mambo watafurahia sana kuwaona wanyama karibu na makazi ya watu au kufungua mabucha au watapenda kula nyamapori...
Ukweli unabakia pale pale kuwa magonjwa mengi ya wanyamapori hayajafanyiwa uchunguzi wa kina wala kutafutiwa tiba madhubuti...!
Tunapochukua tahadhari kwa kunawa maji tiririka na sabuni tukumbuke vile vile kuwa tahadhari ya kweli ni kujiweka mbali na wanyamapori!!
 
[emoji3]
 

Kungekuwa na mashindano ya watu wanafiki duniani basi Tanzania tungeshika nambari One
 
Kipindi hiki cha mwaka wa uchaguzi kutakuwa na nyuzi za kumwaga sifa sana ambazo kimsingi zinalengo moja tu.. walau kupata teuzi za kugombea jimbo fulani. TZkuna vivutio vingi sana sana vya utalii, kulifanya kuwa eneo la utalii ni kukaribisha maspy mwisho wamlipue JPM, hujui anavyopambana na mabeberu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…