Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Yatupaswa kuandaa maandamano ya pongeziKukamata hao wanyama mbugani ,kuwapandisha kwenye fuso na kwenda kuwamwaga Ikulu nayo tutapongeza kama wajinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yatupaswa kuandaa maandamano ya pongeziKukamata hao wanyama mbugani ,kuwapandisha kwenye fuso na kwenda kuwamwaga Ikulu nayo tutapongeza kama wajinga
Usilete mambo ya kina senkolo mvungi au marehemu kezirahabi kuwa eti hii ni fasihi hapana eti umizeni vichwa kujua maana no anakoseaInahitaji "AKILI KUBWA" kuelewa post za Mayala. Msome vizuri na ujipe muda wa kutafakari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bongo bahati mbaya ndugu.Ukimuuliza saizi anakwambia serikali iko Dodoma.Lakin magogoni hahami.Huo mpango haupo.Japo kweli baadhi ya ofisi zilihama lkin kwa asiliamia 30 tu.saiZ wizara zinafanya kazi Dar na DomHivi lile azimio la wizara zote kuhamia Dodoma na majengo yao kupewa wawekezaji ili wajenge/waweke Hotel iliishia wapi?
Ni jambo zuri maana,ila shida ni kuwa mzuka ukipanda hakawii kugawa bure rasilimali zetuWanabodi,
Leo kuna video clip ya Ikulu yetu ya Magogoni imepandisha humu, kiukweli nimekuwa very impressed na ile zoo ya Ikulu na jinsi wanyama walivyopendezea.
Kwenye mazuri wajameni tupongeze: Wanyama pori waipamba Ikulu, Hongera sana Rais Magufuli
Kiukweli hadi raha! Mimi napendekeza Rais Magufuli akae Ikulu hadi pale Mungu atakapoamua!
Sasa tuifanye Ikulu yetu kuwa kivutio cha utalii, vile vizuizi viondolewe, waweke nominal fee watalii hadi wa ndani tutafurika.
Ni muhimu sana rais Magufuli afanye safari muhimu za nje ili kupata exposure, akaone Ikulu ya South inavyofurika, pia aende Ikulu ya White House tena akiandamana na Makonda ili kumkomoa beberu Pompeo!, akaone jinsi wageni wanavyo jivinjari kwenye Ikulu ya White houseya Marekani. Hao wanyama na all the beauty ni bure kama watu hawatembelea na kuchangia upkeep cost.
Na kama hoja ya restrictions ni usalama wa rais, maana naona ulizi wake unakaribia wa Mu7, then Ikulu Zoo iwe open to public zile siku rais yuko Dodoma ambapo pia I hope kutakuwa na Chamwino Zoo. Kiukweli ita-make hata kuliko Chato!
Hongera sana Rais Magufuli kwa kuendelea kumuishi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kwa maneno na matendo, pia tunakuombea utawale kwa muda kama wa Nyerere au kwa kukaribiana tu japo vipindi viwili vya miaka 10/10.
P
Mkuu msome tena PascalWewe na Pasco wote wasaka uteuzi msigombane. Bado tunawafatilia muda ukifika tutawateua tu. Endeleeni kusifu na kuabudu humu mitandaoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu JP Omuga, nimesifia nini kupitiliza, kwani ni uongo?.Mayalla hii sasa imepitiliza aisee...!!
Unasifia kupitiliza...!!
Hivi na Ikulu Dodoma wapo wanyama kama vivutio??!Mkuu JP Omuga, nimesifia nini kupitiliza, kwani ni uongo?.
P
Wanabodi,
Leo kuna video clip ya Ikulu yetu ya Magogoni imepandisha humu, kiukweli nimekuwa very impressed na ile zoo ya Ikulu na jinsi wanyama walivyopendezea.
Kwenye mazuri wajameni tupongeze: Wanyama pori waipamba Ikulu, Hongera sana Rais Magufuli
Nimesema kwa upande wa wanyama Magufuli ameipendezesha Ikulu yetu kuliko enzi za Nyerere, kwasababu wanyama Ikulu walikuwepo tangu enzi za Nyerere, kufuatia Ikulu kuwa na a limited surface area na wild animals natural habitat yao ni wilderness, ikaamuliwa wawepo wanyama wachache tuu for leisure kwa rais na wageni wake wakiwemo ndege tausi ambao sasa Ikulu ndio natural habitat yao.
Wilde animals bila kuwa na mazingira ya natural habitat hawawezi ku breed, hivyo kuweka idadi kubwa hivyo ya wanyama kwenye kieneo kidogo kile ni furaha peneza macho na mateso kwa baadhi yao, kumbe domestication of wild animals sasa sio just for leisure, sasa ni kuonyeshea!, hivyo na kwa vile serikali imehamia Dodoma, napendekeza Ikulu iwe Magogoni Zoo, na kwa heshima ya Magufuli, napendekeza Rais Magufuli akae Ikulu muda kama wa Nyerere au zaidi hadi pale Mungu atakapoamua!.
Tena unaweza kukuta uamuzi wa kufuga wanyama wengi hivyo kwenye eneo dogo lile, umefanyika bila EIA, kama tulivyoamua kununua ndege kwa cash huku hatuna business plan!. Sasa tuifanye Ikulu yetu kuwa kivutio cha utalii, vile vizuizi viondolewe, waweke nominal fee watalii hadi wa ndani tutafurika.
Ni muhimu sana rais Magufuli afanye safari muhimu za nje ili kupata exposure, akaone Ikulu ya South inavyofurika, pia aende Ikulu ya White House tena akiandamana na Makonda ili kumkomoa beberu Pompeo!, akaone jinsi wageni wanavyo jivinjari kwenye Ikulu ya White houseya Marekani. Hao wanyama na all the beauty ni bure kama watu hawatembelea na kuchangia upkeep cost.
Na kama hoja ya restrictions ni usalama wa rais, maana naona ulizi wake unakaribia wa Mu7, then Ikulu Zoo iwe open to public zile siku rais yuko Dodoma ambapo pia I hope kutakuwa na Chamwino Zoo. Kiukweli ita-make hata kuliko Chato!
Hongera sana Rais Magufuli kwa kuendelea kumuishi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kwa maneno na matendo, pia tunakuombea utawale kwa muda kama wa Nyerere au kwa kukaribiana tu japo vipindi viwili vya miaka 10/10.
P
Mkuu leo umeamka vizuri. Naona humu kuna dawa na sumu au ile "kula ufe (trojan horse). Napendekeza waweke pia simba, chui na chatu ili watalii wafurike. Sio wazo baya hata kule Sauz ikulu ni moja ya tourist attractions.
Kuna watu wazito sana jamani...dahMkuu msome tena Pascal
Humu ndani kuna raia wana IQ ndogo kweli...Yaani watu wanashindwa kabisa kung'amua bandiko la Paschal?. Inachekesha.
Sent using Jamii Forums mobile app
jamani si tuliambiwa mzee kaamia Dodoma
HhahahahhaahahahahahahahahSijaona Simba wala jamaii ya chui nabkuna Swala wengi sana.. Sasa hapo ecosystem itabalansi vipi?! 😊
Mzee wa metaphor nje na ndani ya nchiMkuu JP Omuga, nimesifia nini kupitiliza, kwani ni uongo?.
P
Brother kaa nyumbani cheza na wajukuu kama mjini mishe zimekuwa ngumu maana sasa hivi unandika madudu tupu unajishushia heshima yako, tulikutetea sana kipindi wanakutuhumu umemuza kabendela tulibisha humu mapovu yakatutoka lakini kwa rangi unayotuonyesha sasa ni wazi kabisa sasa unaukasuku
Hatukatai kumsifia mh rais wetu kwa mambo mazuri tunachokataa ni huu ujinga ulioandika huu hapa
(Kiukweli hadi raha! Mimi napendekeza Rais Magufuli akae Ikulu hadi pale Mungu atakapoamua!)
Takataka gani umeandika hapo tena mtu mwenye taaluma ya sheria unaijua katiba vizuri, kiumri unajua mengi umeona mengi sasa umeanza andika utoto kwa uandishi huu tegemea kuikimbia JF maana member wakikuchoka humu utashangaa kila andiko wana wewe mwisho wa siku utaishia kusoma tu yaliyoandikwa na kuichukia JF kama kina musiba na wengineyo
[emoji3]Wanabodi,
Leo kuna video clip ya Ikulu yetu ya Magogoni imepandisha humu, kiukweli nimekuwa very impressed na ile zoo ya Ikulu na jinsi wanyama walivyopendezea.
Kwenye mazuri wajameni tupongeze: Wanyama pori waipamba Ikulu, Hongera sana Rais Magufuli
Nimesema kwa upande wa wanyama Magufuli ameipendezesha Ikulu yetu kuliko enzi za Nyerere, kwasababu wanyama Ikulu walikuwepo tangu enzi za Nyerere, kufuatia Ikulu kuwa na a limited surface area na wild animals natural habitat yao ni wilderness, ikaamuliwa wawepo wanyama wachache tuu for leisure kwa rais na wageni wake wakiwemo ndege tausi ambao sasa Ikulu ndio natural habitat yao.
Wilde animals bila kuwa na mazingira ya natural habitat hawawezi ku breed, hivyo kuweka idadi kubwa hivyo ya wanyama kwenye kieneo kidogo kile ni furaha peneza macho na mateso kwa baadhi yao, kumbe domestication of wild animals sasa sio just for leisure, sasa ni kuonyeshea!, hivyo na kwa vile serikali imehamia Dodoma, napendekeza Ikulu iwe Magogoni Zoo, na kwa heshima ya Magufuli, napendekeza Rais Magufuli akae Ikulu muda kama wa Nyerere au zaidi hadi pale Mungu atakapoamua!.
Tena unaweza kukuta uamuzi wa kufuga wanyama wengi hivyo kwenye eneo dogo lile, umefanyika bila EIA, kama tulivyoamua kununua ndege kwa cash huku hatuna business plan!. Sasa tuifanye Ikulu yetu kuwa kivutio cha utalii, vile vizuizi viondolewe, waweke nominal fee watalii hadi wa ndani tutafurika.
Ni muhimu sana rais Magufuli afanye safari muhimu za nje ili kupata exposure, akaone Ikulu ya South inavyofurika, pia aende Ikulu ya White House tena akiandamana na Makonda ili kumkomoa beberu Pompeo!, akaone jinsi wageni wanavyo jivinjari kwenye Ikulu ya White houseya Marekani. Hao wanyama na all the beauty ni bure kama watu hawatembelea na kuchangia upkeep cost.
Na kama hoja ya restrictions ni usalama wa rais, maana naona ulizi wake unakaribia wa Mu7, then Ikulu Zoo iwe open to public zile siku rais yuko Dodoma ambapo pia I hope kutakuwa na Chamwino Zoo. Kiukweli ita-make hata kuliko Chato!
Hongera sana Rais Magufuli kwa kuendelea kumuishi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kwa maneno na matendo, pia tunakuombea utawale kwa muda kama wa Nyerere au kwa kukaribiana tu japo vipindi viwili vya miaka 10/10.
P
Orodha ya Maraisi wa JMTZ kwa ubora;
1.Mzee Mwinyi
1.Raisi Magufuli
2.Mwalimu Nyerere
3.Mzee Kikwete
4.Mzee Mkapa ( Mkapa ameshuka kuwa wa mwisho sababu ya ubinafsishwaji wa mashirika yetu, kuuza nyumba zetu, Mikataba mibovu ya Madini, Mke wake ktk KLM, mauaji ya Mwembechai na Pemba, ... vinginevyo angeweza kupanda)
Kipindi hiki cha mwaka wa uchaguzi kutakuwa na nyuzi za kumwaga sifa sana ambazo kimsingi zinalengo moja tu.. walau kupata teuzi za kugombea jimbo fulani. TZkuna vivutio vingi sana sana vya utalii, kulifanya kuwa eneo la utalii ni kukaribisha maspy mwisho wamlipue JPM, hujui anavyopambana na mabeberu?Wanabodi,