Oppomall
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 3,683
- 3,966
Salaam!
Kipekee sijawahi kuandika kuhusu Mhe. Rais ila kwa leo naona nimpongeze kwa teuzi na tenguzi alizofanya kipindi hiki.
Haya ni moja ya maamuzi bora sana na ya heshima ameyafanya, katika makosa makubwa ambayo yalikuwa yamefanyika ni kuwaweka jikoni watu wenye tamaa ya madaraka hiyo ni hatari kubwa mno!
Hapo kuna mtandao ulikuwa unasukwa wa 2025 na kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
Pia nichelee kusema hivi, "Mama umebakisha mtu mmoja". Ukimalizana na huyo mtu basi ni shwari kuu!
Mtoe huyo nyoka ndani ya blanketi ulilojifunika, atakumalizia mayai ya kuku wako wanaotaga kwaajili ya kuandaa kesho yake.
Nawasilisha!
Pia soma=> News Alert: - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari