Kweli maana mfumo wa wizi wa kura upo ndani ya CCM tangu 1995 na hakuna mtanzania asiye litambua hilo, kosa la Nape ni kukiri hadharani.kwamba CCM huiba chaguzi.Shida ya tanzania ni system/taasisi/mfumo.
Kwamba kumuondoa mtu mmoja kwenye nafasi yake sio matokeo makubwa.
Hata ningekuwa mimi ningemtengua tu, huwezi kutoa siri za kambi afu ukabakia salama.