Hongera Rais Samia kwa mabadiliko uliyofanya

Shida ya tanzania ni system/taasisi/mfumo.
Kwamba kumuondoa mtu mmoja kwenye nafasi yake sio matokeo makubwa.
Kweli maana mfumo wa wizi wa kura upo ndani ya CCM tangu 1995 na hakuna mtanzania asiye litambua hilo, kosa la Nape ni kukiri hadharani.kwamba CCM huiba chaguzi.

Hata ningekuwa mimi ningemtengua tu, huwezi kutoa siri za kambi afu ukabakia salama.
 
Bado Bashe na Mwigulu hawa ndio wanaichafua serikali yake
 
Huyu mtu mmoja akitolewa nitamuona mama Kizimkazi ni mtu wa maana☺️
Hakuna utofauti wowote... Wawepo au waondolewe!
Wananchi should mobilize to take back their powers!
Haiwezekani kila wiki ni tenguzi na teuzi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…