The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Ungesoma ungejua hayo malengoSijasoma vielelezo ulivyoweka mkuu, ila malengo ilikuwa ni kukusanya kiasi gani kwa mwezi au mwaka?
CAG anasema mmekusanya 17t, sawa na 1.4t kwa mwezi. TRA walisema wanakusanya 1.3t kwa mwezi.
Miezi 18 nyuma, walisema wanakusanya 1.3t kwa mwezi, miaka 7 nyuma walikusanya 900m kwa mwezi.
Kuna mwaka hamjaipongeza serikali yenu kwa ukusanyaji na kutekeleza miradi kwa asilimia muziandikazo mtakavyo?
Hayo hayahusiani Bali haya makusanyo sehemu yake inatumika kulipa mikopo kutoka Huko Kwa mabeberu wako.Ni vyema pia ukusanyaji huu, ukajumlishwa na Yale mapato ya mikopo Kutoka kwa mabeberu, ili kuonesha mapato yetu kwa mwezi ni Tsh ngapi na baada ya hapo, tuangalie matumizi ya hayo mapato!
Na jambo lingine ambalo serikali haijatoa ufafanuzi mzuri, ni Yale mapato yatokanayo na tozo za Luku na mitandao,
Wangeibainisha kuonesha wanakusanya sh ngapi na wapi zimeelekezwa
Walijitahidi kutoa tarifa hizo Mara moja tuu, kwa nini haiwi mwendelezo...?
Kodi zote zilizoanzishwa zisizo na tija kwa taifa zimechangia kiasi gani kwenye makusanyo hayo?Hayo hayahusiani Bali haya makusanyo sehemu yake inatumika kulipa mikopo kutoka Huko Kwa mabeberu wako.
Una udumavu wa akili.Tozo sio Kodi na humo haipo..Kodi zote zilizoanzishwa zisizo na tija kwa taifa zimechangia kiasi gani kwenye makusanyo hayo?
Zile tozo za simu zilizotangazwa mara mmoja, zilisitishwa au zinaendelea na matumizi yake ni kwa WALAMBA ASALI?
Kuna sehemu umesoma hivyo? Thibitisha kabla hujajigeuzia maandishi yako.Una udumavu wa akili.Tozo sio Kodi na humo haipo..
Kumbe kodi anakusanya samia anapoenda kutembea kwa majirani nani anakusanya harafu bado za ombaomba country kumbe inji hii ni tajiri sanaNawasalimu kwa jina la JMT..
Nitoe pongezi zangu za dhati kwa Mh.Samia SS na Serikali yake kupitia TRA kwa kuweza kukusanya mapato kwa Asilimia 99%..
Kiwango hiki kimeiwezesha Serikali kutekeleza ajeti yake ya mwaka 2021/2022 kwa zaidi ya asilimia 95%..
Bila shaka Rais Samia anazidi kuonesha uongozi wenye matokeo na sio maneno ya kujigamba na vitisho..
Nitoe wito kwa TRA kuendelea kukaza zaidi maana bajeti mpya ni kubwa zaidi ya iloyoisha hivyo mapato ni lazima yapatikane Ili kutimiza kiu ya mh.Rais ya kuwaletea maendeleo Watanzania.
Mwisho niwapongeze walipakodi nikiwemo mwenyewe kwa uzalendo huu, tuendelee kuchapa Kazi Ili Kazi iendelee.[emoji116]
Aliyekupantaarifa mwambie akupe uongo mpya πKuna tetesi kwamba masoko ya madini (mf. Soko la dhahabu Geita) mauzo yameshuka hawauzi tena dhahabu zao pale na kuuza kinyemela ili kukwepa kodi.
Sina ushahidi na hili ila maneno ya kukatisha tamaaa kwa serikali hii ni mengi sana hasa kwa ukandaa huu nilipo (Kanda ya ziwa).
Ni muhimu serikali kuwa inatoa takwimu ili kujenga imani kwa wananchi.
Asante kwa taarifaAliyekupantaarifa mwambie akupe uongo mpya π
Mwigulu alisema tozo zote zielekezwa kwenye zahanati na shule lkn cha ajabu shule za makuti bado tunaziona.Ni vyema pia ukusanyaji huu, ukajumlishwa na Yale mapato ya mikopo Kutoka kwa mabeberu, ili kuonesha mapato yetu kwa mwezi ni Tsh ngapi na baada ya hapo, tuangalie matumizi ya hayo mapato!
Na jambo lingine ambalo serikali haijatoa ufafanuzi mzuri, ni Yale mapato yatokanayo na tozo za Luku na mitandao,
Wangeibainisha kuonesha wanakusanya sh ngapi na wapi zimeelekezwa
Walijitahidi kutoa tarifa hizo Mara moja tuu, kwa nini haiwi mwendelezo...?
Chawa katika ubora wakoNawasalimu kwa jina la JMT..
Nitoe pongezi zangu za dhati kwa Mh.Samia SS na Serikali yake kupitia TRA kwa kuweza kukusanya mapato kwa Asilimia 99%..
Kiwango hiki kimeiwezesha Serikali kutekeleza ajeti yake ya mwaka 2021/2022 kwa zaidi ya asilimia 95%..
Bila shaka Rais Samia anazidi kuonesha uongozi wenye matokeo na sio maneno ya kujigamba na vitisho..
Nitoe wito kwa TRA kuendelea kukaza zaidi maana bajeti mpya ni kubwa zaidi ya iloyoisha hivyo mapato ni lazima yapatikane Ili kutimiza kiu ya mh.Rais ya kuwaletea maendeleo Watanzania.
Mwisho niwapongeze walipakodi nikiwemo mwenyewe kwa uzalendo huu, tuendelee kuchapa Kazi Ili Kazi iendelee.[emoji116]
Kinachoongelewa na hali ilivyo mtaani vinapishana tunadanganya kumfurahisha nani sasa?Watu wakisema mseme wanapinga kila kitu?Nawasalimu kwa jina la JMT..
Nitoe pongezi zangu za dhati kwa Mh.Samia SS na Serikali yake kupitia TRA kwa kuweza kukusanya mapato kwa Asilimia 99%..
Kiwango hiki kimeiwezesha Serikali kutekeleza ajeti yake ya mwaka 2021/2022 kwa zaidi ya asilimia 95%..
Bila shaka Rais Samia anazidi kuonesha uongozi wenye matokeo na sio maneno ya kujigamba na vitisho..
Nitoe wito kwa TRA kuendelea kukaza zaidi maana bajeti mpya ni kubwa zaidi ya iloyoisha hivyo mapato ni lazima yapatikane Ili kutimiza kiu ya mh.Rais ya kuwaletea maendeleo Watanzania.
Mwisho niwapongeze walipakodi nikiwemo mwenyewe kwa uzalendo huu, tuendelee kuchapa Kazi Ili Kazi iendelee.π